Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

Hujajibu hoja ulichofanya ni kutoa lawama tu zidi ya mwendazake
 
una hasira na sukuma gan walikuchukulia mkeo nn?
 
una hasira na sukuma gan walikuchukulia mkeo nn?
Si bora hata wangenichukulia mke, kuliko kwa mateso waliyoyasababisha kwa WA TZ? na ndio maana kwa sasa yanayowakuta mnalia ki vyenu tu, lakini asilimia kubwa ni kicheko tu!!kulia ni kupokezana!!unaona kinachomkuta aliye kuwa mkuu wenu wa protokali za kihuni kanda ya kaskazini(SABAYA), sasa hivi amebakia pekee yake anajuta!!
Mliamini kuwa lile shetani lenu litaishi milele, .MUNGU FUNDI
 
Kama mwenye hoja kaenda kuomba msamaha kwa hoja yake, sisi ni nani?

Sina hakika kama umeisoma mada. Agenda zetu ni za kudumu.

Ndiyo maana hakuna taabu na awaye yote kuchukua msimamo wowote wakati wowote.

Siyo hivyo mjomba?
 
Sina hakika kama umeisoma mada. Agenda zetu ni za kudumu.

Ndiyo maana hakuna taabu na awaye yote kuchukua msimamo wowote wakati wowote.

Siyo hivyo mjomba?

Ni kweli kabisa, lakini kwenye hizo ajenda zetu ni kosa kuchangamana na wahuni maana wataishia kutuvuruga. Kama hizo ajenda zetu wahuni wanaona zinawalipa, wazipiganie kimpango wao, na sio kuchanganya kenge kwenye msafara wa mamba.
 
Kufanya purging ya kuwaondoa viongozi waandamizi na hata kushinikiza kumwondoa kiongozi wa mhimili unaweza kuleta destabilization ambayo inaweza kuwa loophole kwa bakabaka kuingilia mtanange na hapo ndo mtajua hamjui............
 
Akivunja bunge na yeye anajivunja kwasababu ni sehemu ya bunge. Hivyo naye atapaswa kuingia ktk mchakato wa kuwa mgombea kupitia chama chake, akipata then kitaa kutafuta kura kwa wananchi.
 
Sasa miradi yote hiyo kila sehemu tena ya pesa nyingi ingelipwaje?

Upandishaji vyeo na kulipa watu stahiki zao kumekaaje? Mei mosi inakuja mtataka nyongeza za mishahara pesa itoke wapi?
Hakuna hata mia mbovu iliyoenda kwenye miradi ya kimkakati, zote zimeenda kwenye mambo ya kijamii Zanzibar na kwenye madarsa na madawati. Hata zile za Covid 19 nasikia zimeenda kwenye madarasa na madawati. Hata hizi tozo za kila mwezi Bilioni 100 tunakamuliwa nasikia ni za madawati na madarsa na Zahanati. Miradi ya kimkakati mfano kama SGR na Rufiji hazipata hata mia toka kwenye hiyo mikopo, hivi tunaakili timamu kweli sisi?!
 
Samahani Mkuu huwa unafuatilia hata taarifa za habari?
 
Mnamuongezea hasira maza
Haiwezekani mtu anakopa trillion 10 mdani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati halafu tukachekeana chekeana hapa, siku ya kupigwa mnada tutakuja kutafutana humu, Ndugai aliliona hili mapema!
 
Tulishajiunga na Lowassa, Nyalandu nk, leo wako wapi na wanasimamia nini? Huyo spika kazungumza kitu cha kweli, lakini hofu ya mlo imemfanya aombe msamaha. Hapo kuna wakumsupport kweli?
Hakupaswa kuomba msamaha, maana ni kweli kwa speed hii ya ukopaji kwa ajili ya mambo ya ajabu ajabu itasabisha tupigwe mnada, kasema ukweli!!
 
Avunje bunge? Kwani urais hautaki? Mbona ataishia kakipindi alichokwisha tawala?
Risk hiyo hawezi kuichukua.
amtoe spika na akigoma avunje Bunge, hamna kitakochotokea
Nchi karibia ya 98% duniani Bunge huwa linavunjwa na Rais anaendelea
lkn huwezi Mtoa Rais na Bunge likabaki eti litawale
Kwa Tanzania hakuna Chama upinzani kitakachoweza ingiza mguu hapo hata hao CHADEMA wanaokuja na issue ya Katiba mpya hawataweza msimamisha mgombea Urais atakayeshindana na Mama
Sanasana ni fikra za mfumo dume wa kumdarau Rais
 
Ni kweli kabisa, lakini kwenye hizo ajenda zetu ni kosa kuchangamana na wahuni maana wataishia kutuvuruga. Kama hizo ajenda zetu wahuni wanaona zinawalipa, wazipiganie kimpango wao, na sio kuchanganya kenge kwenye msafara wa mamba.

Safari yetu tunaifanya kuwa ndefu na ngumu zaidi pasipo sababu.

Uzi huu unawahusu zaidi Chadema kama chama:

CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo

Ipo kazi kubwa kwa ajili ya wafuasi na wanachama kuliko inavyoweza kufikiriwa.
 

Kwani kwenye sakata hii kosa la Ndugai hasa ni gani?
 
Kufanya purging ya kuwaondoa viongozi waandamizi na hata kushinikiza kumwondoa kiongozi wa mhimili unaweza kuleta destabilization ambayo inaweza kuwa loophole kwa bakabaka kuingilia mtanange na hapo ndo mtajua hamjui............

Tulipo bila kuwa na total restart hatuwezi kuwa katiba ya ya haki ya wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…