Kungarochi
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 271
- 601
Hujajibu hoja ulichofanya ni kutoa lawama tu zidi ya mwendazakePoleni sana, leo ndio ameamua kuwapa za uso sukuma gang!!hayo mamiradi lukuki yaliyoanzishwa kwa kukurupuka pesa zake za kuyaendeleza ujenzi zinatoka wapi?eti trilioni 10 kwa madawati!!huyo shujaa wenu aliyekuwa anasema hakopi , ila daa mungu fundi sana, kwani ametuepushia mengi!!
Leo sasa ndio ametangaza vita ni vita mula, kama mlimtuma Ndugai ujumbe mmeupata.