Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

Hata angependa kuchukua hatua hiyo,hali mbaya ya uchumi hairuhusu!

Wamesema hali ya uchumi ni nzuri na tunakopesheka.

Mwigulu kasema tajiri anakopesha tajiri mwenzake.

Pesa ya uchaguzi haiwezi kukosekana.
 
Ila Mama anaenda kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na ndiyo utakuwa mwisho wake na wanaweza kumshitaki akafungwa.
Mkuu umenichekesha sana. Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, zaidi mshua wa galilaya na wenzie habari wameipata kuwa mama hataki ujinga lazima watulie tulii.
 
Ndugai atakula alikopeleka mboga.

Nani amuunge mkono mtu mwenye faili mirembe!?

Pamoja na yote hata kama kwa kutoka vingine hapa tungepata tunachotaka sasa, ila tuko tayari kama vipi bora tukose wote tu?

Hizi sasa si ndiyo hasira za mkizi?
 
Mkuu umenichekesha sana. Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, zaidi mshua wa galilaya na wenzie habari wameipata kuwa mama hataki ujinga lazima watulie tulii.

Wakitulia imekula kwao. Wakikomaa na kama vipi wakawafikia na wapinzani mbona ngoma ilikuwa inogile?
 
Wakitulia imekula kwao. Wakikomaa na kama vipi wakawafikia na wapinzani mbona ngoma ilikuwa inogile?
Mwanasiasa hayuko tayari kujiunga na watu wadhaifu/wanaotegemewa kushindwa, kwa hiyo hapo hamna kitu mkuu
 
Mwanasiasa hayuko tayari kujiunga na watu wadhaifu/wanaotegemewa kushindwa, kwa hiyo hapo hamna kitu mkuu

Watu wote wasiopangwa vyema ni wadhaifu. Jemedari wa vita anapaswa kusoma uwanja na kupindua meza.

Ndivyo US army ilivyolazimika kutimua mbio kutoka Somalia na hata Afghanistan.
 
vyovyote iwavyo, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati hatuwezi kukubali, hili lazima liondoke na mtu!
Sasa miradi yote hiyo kila sehemu tena ya pesa nyingi ingelipwaje?

Upandishaji vyeo na kulipa watu stahiki zao kumekaaje? Mei mosi inakuja mtataka nyongeza za mishahara pesa itoke wapi?
 
Sasa miradi yote hiyo kila sehemu tena ya pesa nyingi ingelipwaje?

Upandishaji vyeo na kulipa watu stahiki zao kumekaaje? Mei mosi inakuja mtataka nyongeza za mishahara pesa itoke wapi?

Huyo ng'ombe kati kwani analipa kweli sehemu yake sahihi?

IMG_20220104_235241_689.jpg
 
Kutotambua katika siasa kuna agenda za kudumu si marafiki wala maadui kwa hapa kwetu kuna tuangusha.

Kwa hakika la Ndugai na Polepole linaanguka kwenye agenda za muda mrefu za upinzani.

Palitakiwa mipango mikakati ya kucheza na mipira "lose" kama hii.

Timu ya mpira inataka mabao siyo kuwa yamepatikana je.
,2015 watanzania wengi hawakuamini lowasa kuja chadema pamoja na maneno yote aliyopewa na chadema akaonekana ndio mtu sahihi kwa muda ule kupeperusha bendera lakini watz walielewa ,sasa nashangaa kwa sasa kwanini upinzani swala hili linakuwa zito kwao kwa miaka hii je ni kuwa hoja hizo hazina interest kwao au ndo ile ukimchukia mtu ata mambo mazuri anayoyafanya tuyachukie . Tunashindwa kutofautisha ushabiki wa mpira na ushabiki wa siasa wakati siasa ndo dira nzima ya maisha ya nchi.
 
Chimbuko la kufikia kuomba msamaha yawezekana kuwa kaingizwa chaka, pengine na washirika wake hasa hasa baada ya kuendelea kuzodolewa na kukosa waungaji mkono wa hadharani.

Kama uzi huu unavyolenga kwa hakika "lose ball" hii ilipaswa kuchukuliwa kimkakati tangia ilipoanza kuzagaa zagaa bila mwenyewe kwenye lango la adui.

Kwa hakika tunapaswa kutambua ushindi ni magoli na adui si wa kudumu, ila agenda.

Tupigane "total football" na aina zote za silaha akili vichwani.
Siasa za kuwatenga wengine ni za kioga, siasa ni hoja, sema zako niseme zangu atakaeshinda ajiunge na mwenzake, siasa ni watu, kila mmoja kwenye siasa ana kundi la watu nyuma yake. Zaidi siasa ni sanaa haichezwi kwa kukariri lazima kila siku ujue kumchonga kinyago wako ili kuendana na mahitaji ya wakati.

Siasa za kuwatenga watu ni za kizamani kabisa, kishamba, siasa sio jambo la kifamilia, siasa ni mahitaji ya jamii, huwezi kutaka muwe wanasiasa mnaofanana peke yenu kwa kila kitu. Huko ni kujidumaza kifikra bila kujua, matokeo yake ndio kuitwa chama cha kanda fulani nk na kuwatenga wengine ni sababu tosha ya kufungiwa chama chako na msajili wa vyama.
 
Niliwahi kuandika uzi huu Jul 2020:

Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

IMG_20220105_071920_833.jpg

Bila huyu mwamba Obama asiingeiona ikulu ya White House.

Ukweli mchungu.
 
,2015 watanzania wengi hawakuamini lowasa kuja chadema pamoja na maneno yote aliyopewa na chadema akaonekana ndio mtu sahihi kwa muda ule kupeperusha bendera lakini watz walielewa ,sasa nashangaa kwa sasa kwanini upinzani swala hili linakuwa zito kwao kwa miaka hii je ni kuwa hoja hizo hazina interest kwao au ndo ile ukimchukia mtu ata mambo mazuri anayoyafanya tuyachukie . Tunashindwa kutofautisha ushabiki wa mpira na ushabiki wa siasa wakati siasa ndo dira nzima ya maisha ya nchi.

Chadema bila Mbowe au Lissu pale juu ni Argentina bila Messi uwanjani.

Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

Inatakikana Chadema yenye makali yake yale yale:

CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo
 
Mama kama vipi avunje bunge aitishe uchaguzi mkuu upya, inaonekana kuna changamoto na misuguano ya ndani kwa ndani, mihimili ya sirikali kila mmoja unavutia upande wake, sio nzuri hata kidogo kwa maendeleo ya nchi.
Njia sahihi ni kwa mama kuchuja wabunge ambao ataenda nao sawa , sukuma gang watamchelewesha mama.
Avunje bunge kisha akae kwenye kuti aone mateso yake
 
Kwa kauli zile za Mama, hata huo msamaha wa JN inaonekana amefanya kwa shinikizo baada ya kutonywa kwa yajayo. Lazima kuna mtu kavujisha siri ili amuokoe Mzee wa Galilaya. Wakaona kuomba radhi hadharani inaweza kunusuru.
Asulubiweeeeh
 
Avunje bunge kisha akae kwenye kuti aone mateso yake

Kwani mama yeye hataki taifa lipate viongozi walio bora kuliko hata yeye ikiwezekana?

Kwanini uwezekano wa kupata mtu bora zaidi kwake ni kukaa kwenye kuti na kuona mateso?

Si wanatuambia viongozi wanawekwa na Mungu? Hata kama akivulinja Bunge, Mungu atafanya kazi yake?

Si kuwa ubinafsi huu uliopitiliza unatuhitaji wenye nchi kuamka?
 
Siasa ni science mjomba. Siasa ni mikakati ikibidi hata infiltration kwa adui ni sehemu ya mchezo.

Hatuna ya kujifunza hata Kenya tu?

Bila kuufahamu mchezo huu kikamilifu, matokeo ya kupata wiki ijayo tunaweza yapata baada ya miaka 10.

Kwani ujinga utakuwa ni nini basi?

Tulishajiunga na Lowassa, Nyalandu nk, leo wako wapi na wanasimamia nini? Huyo spika kazungumza kitu cha kweli, lakini hofu ya mlo imemfanya aombe msamaha. Hapo kuna wakumsupport kweli?
 
Si
Kwani mama yeye hataki taifa lipate viongozi walio bora kuliko hata yeye ikiwezekana?

Kwanini uwezekano wa kupata mtu bora zaidi kwake ni kukaa kwenye kuti na kuona mateso?

Si wanatuambia viongozi wanawekwa na Mungu? Hata kama akivulinja Bunge, Mungu atafanya kazi yake?

Si kuwa ubinafsi huu uliopitiliza unatuhitaji wenye nchi kuamka?
si kwetu itakua poa ila kwake kama anataka kuendelea ataojanja sumu maana atakua amepindua meza
na yeye kapinduka.
Ni bema avumilie huenda huko mnele ataeleweka.
 
Back
Top Bottom