- Thread starter
- #81
Mama kama wanavyosomeka baadhi ya wapinzani mchezo wa siasa ungali mgeni kwao 😁😁.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa, dirty games
Nchi zinaongozwa kwa mujibu wa katiba si kwa mujibu wa hasiraMnamuongezea hasira maza
Mimi sikuona sababu ya Mshenga wa Yesu (Ndugai) kuomba radhi maana alichokiongea ni kweli tupu.Kwa kauli zile za Mama, hata huo msamaha wa JN inaonekana amefanya kwa shinikizo baada ya kutonywa kwa yajayo. Lazima kuna mtu kavujisha siri ili amuokoe Mzee wa Galilaya. Wakaona kuomba radhi hadharani inaweza kunusuru.
Mimi sikuona sababu ya Mshenga wa Yesu (Ndugai) kuomba radhi maana alichokiongea ni kweli tupu.
Unajiona mjanjaaaa! Kwa taarifa yako hakuna kuchezeshwa wala nini. Tunachoshuhudia ni mtifuano halisi.wafuasi wa chadema wakiongozwa na mzee Mbatia wamepoteza mwelekeo kabisaa...yaani wanachezeshwa ngoma bila kujua wimbo
AhahaahhaKwamba sasa Ndugs aungane na chadema kudai katiba mpya?
Kwani yeye haogopi!?Mama kama vipi avunje bunge aitishe uchaguzi mkuu upya, inaonekana kuna changamoto na misuguano ya ndani kwa ndani, mihimili ya sirikali kila mmoja unavutia upande wake, sio nzuri hata kidogo kwa maendeleo ya nchi.
Njia sahihi ni kwa mama kuchuja wabunge ambao ataenda nao sawa , sukuma gang watamchelewesha mama.
Kwa kuipata katiba mpya ya wananchi.Ndugai kama binadamu alitoa mawazo yake kwa mtazamo wake. Hata hivyo bila shaka nje ya alichokiamini, kwa nia njema alilazimika kuomba msamaha.
Pamoja na kuomba msamaha kwa nia ya kuwaridhisha wakubwa kinyume cha utaratibu kumbe vita ndiyo bado asubuhi.
Alitoa mawazo yake pia Polepole kwa wakati wake. Huyu kaishia kuwekwa kufuli baada ya kujaribu kukomaa:
View attachment 2068711
Mtu mzima hatishiwi nyau!
Ndugu waungwana wenye kuzielewa hoja za bwana Ndugai - Aluta Continua.
"Bungeni kuna kura ya kukosa imani na mtaani kuna tuojisikia kuzibwa midomo."
Vyama vya siasa agenda zenu kuhusu uhuru wa maoni zinasema je? Kwani nyie mko na uadui wa kudumu na watu? Misahafu si inasema adui yako mpende?
Haipo namna ya kuchachandua uwezekano wa kupatikana katiba tofauti hapa yenye kutufaa sote?
Au kwetu ushabiki ndiyo dili na kila apambanae ni mchuma janga tu kwa wakati wake?
"Ndugai vs uliojichimbia zaidi ngoma bado mbichi.'
Tanzania bora zaidi yaweza kuzaliwa hapa!
Kama ntu mnaa , unaa ukikomaa unageuka usaliti.Shida ya wanasiasa wetu wakichukia mtu wanchukia na kile anachokisema ata kama kitakuwa kizuri au chenye faida kwake.
Hataki kabisa! Ndio maana amekua mkaliKwani mama yeye hataki taifa lipate viongozi walio bora kuliko hata yeye ikiwezekana?
Kwanini uwezekano wa kupata mtu bora zaidi kwake ni kukaa kwenye kuti na kuona mateso?
Si wanatuambia viongozi wanawekwa na Mungu? Hata kama akivulinja Bunge, Mungu atafanya kazi yake?
Si kuwa ubinafsi huu uliopitiliza unatuhitaji wenye nchi kuamka?
Tutasonga vipi mbele wakati mtu kakopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila idhini ya bunge, na hajatubu wala Kuomba msamaha?! How do we move on?! Tukija kupigwa mnada je?!Ameomba msamaha haya mambo yaishe tusonge mbele
Tatizo brazaj unasahau mapema sana.
CCM lao moja huo NI mpango wao.wanafanya wanagombana ili wawatoe mchezoni
NANI ANAMKUMBUKA MBOWE MAHABUSU?
Free mbowe imeishia wapi?
Binafsi siwezi muunga mkono“Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nayo sawa waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa, endapo hiyo namna ya ku-run nchi (kuongoza nchi) hivi sasa deni letu ‘seventy trilioni’ (Sh70 trilioni). hivi nyinyi si wasomi ‘is that healthy’ (hiyo ni afya). Kuna siku nchi itapigwa mnada hii,” alihoji Ndugai kwenye mkutano huo wa kimila wa kabila la Wagogo
Tunajua mnaumia mno na hoja yoyote yenye mwelekeo wa maridhiano.
Mbowe, Lissu, Ling'wenya, Adamoo, Ben, Mawazo, Lijenje au wa kwenye viroba wanasahauliwa na nani?
Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka
Jipya lipi tumeanza kuliandika leo?
Ungali ukitusikia nusu nusu?
Kwa hyo Leo ndugai kawa shujaa kisa kahoji mikopo?
Binafsi siwezi muunga mkono
Kuondoka Kwa waliolivuruga taifa, sii kwa maneno yake ya hivi karibuni, ila kwa mipango na mikakati ya makusudi, ama kwa kujua au kutokujua au kwa uwezo wa kutekeleza jukumu lake la msingi Kwa nafasi aliyoitumikia/anayoitumikia ni fursa na nafasi Kwa mtu mwenye weledi kutekeleza majukumu yake kwa manufaa ya taifa na manufaa ya watanzania, tukiiona ni fursa ya kisiasa, sidhani kama ni sahihi, ila yafaa tulione hili kama fursa kwa maslahi mapana kwa taifa, na mwanzo wakurekebisha dosari zinazolikwamisha taifa.Kupambana na "self ego" haijawahi kuwa rahisi.
Haikuwa makosa kwa Mbowe au Lissu pamoja na madhaifu yao kuwakaribia kina Lowassa, Sumaye, Nyalandu, Matambiko nk:
CHADEMA: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo
Mikakati ya kupata magoli haiwezi kuwa wazo kwa kila mtu.
Kwani kwenye viroba mliwaweka kina nani?