GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baba mshauri atapata na FEDHA za kuwapa jangwani kuwapa motisha washinde ndoo msimu huu!!Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Sijapendezwa na hicho kichwa Cha habari . Msamaha kwa kosa gani? DPP kasema hana nia kuendelea na kesi... Kwa lugha nyingine kesi hiyo Haina mashiko !!!Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Good thinking capacity pia kama wale 19 waliopo paleBaaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.