Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
 
weka ushahidi kuthibitisha madai uliyo yafunga katika "codes" other wise hatuwezi kuamini hisia zako tu.
 
Nani aliomba msamaha? Msamaha ulitoka kwa nani?
 
Naunga mkono hoja..kama walivyo bana na kuachia kwenye suala la waliopata mimba kurudi shule....njaa mbaya sana hasa njaa ikiwa kwenye ubongo..kitu ambacho ni chronic infection kwa viongozi wa nchi hiii....njaa na tamaa ya fisi

#MaendeleoHayanaChama
 
Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Baba mshauri atapata na FEDHA za kuwapa jangwani kuwapa motisha washinde ndoo msimu huu!!
 
Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Sijapendezwa na hicho kichwa Cha habari . Msamaha kwa kosa gani? DPP kasema hana nia kuendelea na kesi... Kwa lugha nyingine kesi hiyo Haina mashiko !!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
Good thinking capacity pia kama wale 19 waliopo pale
 
Back
Top Bottom