PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo

===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
Your browser is not able to display this video.


Soma pia
 
Yupo jamaa mmoja alisema wako watu maporini tu hata jua hawalioni wanasubiri tu kufinya.
 
Ndo maana kavaa bonge la hirizi anadhani yupo salama sana sio ?
 
Aache kutishia watu boyaa tu hao,kama mnajiamin nenden Kwa hoja ,mnatumia puuz kulinda ufisad wenu mfyuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…