Animal Farm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 975
- 1,146
Sio ngonjera wewe fisi maji! Mboga mboga mtajuta! Daadek!Huko kujifariji kwenu hakutawasaidia, kama mnalo la kufanya fanyeni. Hizi ngonjera zenu tushazizoea. Eti ICC
Sio ngonjera wewe fisi maji! Mboga mboga mtajuta! Daadek!Huko kujifariji kwenu hakutawasaidia, kama mnalo la kufanya fanyeni. Hizi ngonjera zenu tushazizoea. Eti ICC
Martha Karua ni mtu kubwa, prominent lawyer, utalinganisha na akina Musukuma na wale wabunge wapumbavu waliokuwa wanaongea ugoro na ushuzi pale Dodoma? Mbona ameenda Uganda kwa kesi ya Kiiza Besyge na hawakumzuia pamoja na yule mnafiki mtoto wa m7 kumsifu mama anaepiga mwingi ila amemgeuka na kumruhusu aingie Uganda? Hii ngozi nyeusi ina laana kubwa sana!Ndiyo maana Martha karua amesema hawezi kujibizana na wabunge wa Tanzania Kwa sababu ya akili ndogo za wabunge hao.kujibizana nao kungeshusha Hadhi ya msomi Martha karua wa kenya
Fisi Maji tena!Sio ngonjera wewe fisi maji! Mboga mboga mtajuta! Daadek!
Iringa ni watu wenye msimamo sana. ILA KWA HAPA MNAMBUNGE TAKATAKA. AKILI ZAKE ZIPO KWENYE MAKALIOWakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo
===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
View attachment 3346317
Soma pia
- Pre GE2025 - Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha
- Pre GE2025 - Mbunge CCM ataka Udhibiti mkali wa Mitandao: Tumevumilia, lakini tumechoka
- Pre GE2025 - Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani