Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Hivi huyu naye kweli ni wa kabila la Mtemi Mkwawa au ni kenge kwenye msafara wa mamba?Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo
===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
View attachment 3346317
Soma pia
- Pre GE2025 - Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha
- Pre GE2025 - Mbunge CCM ataka Udhibiti mkali wa Mitandao: Tumevumilia, lakini tumechoka
- Pre GE2025 - Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani