PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo

===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
View attachment 3346317
Kweli CCM bila Polisi.......
 
Huyo mama hajifunzi kwa huyo mtu aliyepo nyuma yake?

Hajiulizi kuwa awamu iliyopita huyo mtu alikuwa top 3 ya "untouchable" na saa hizi si lolote tena ?
 
USA huwa wanatumia Askari wake nje ya mipaka yao kujenga uchumi wa nchi yao.
Trump amekwenda GCC na Saudia kuingia mikataba ya ulinzi ya hela nyingi sana kwa manufaa ya USA, tafsiri yake askari wa USA watatumika kuzilinda hizo nchi kwa maslahi ya USA.

Huku Mbunge ndani ya Bunge anashabikia Askari kuonea, kuua na kuumiza wananchi eti tu kukilinda chama tawaka
 
Alivyo na sura nzito kama yangu
Inasikitisha mtu mzima kwenye nafasi ya heshima kutoa kejeli za kishenzi kwa mtu mzima mwenye hadhi yake ambaye hajamfanyia kosa lolote. Eti mkorogo umebuma, kapaka poda. Yeye mwenyewe hajioni alivyo kiasili. Aibu sana kwa taifa.
 
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo

===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
View attachment 3346317

Soma pia
Da jamani, wakenya wanatekenya kidogo tu,tena ni watu wa mtaani tu ,ila sisi bunge linatumia Kodi zetu kujadili huu ujinga?
 
Sasa Malaya aliyepewa ubunge wa bure unategemea atasema nn,na yy alikuwa danga tu,yy ameshindwa kujua kwamba watanzania hawaja amua wamekubali kupigwa wanaheshimu Sheria bila shuruti,ila ajue kwamba siku inakuja watanzania watakataa kuonewa na hapo ndipo polisiccm na CCM Yenyewe haitampata wa kumuonea hapatatosha.
Malaya wa kisiasa Hawa!
 
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo

===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na udongo, tukiwatoa hao shughuli yake mtaiona" - Jesca Msambatavangu, Mbunge Iringa Mjini
View attachment 3346317

Soma pia
Huyu bibi ni shetani na mchawi, anashangilia watu kupigwa na polisi asee?
 
Uzuri haya yote tunayahifadhi kama ushahidi kwa hiyo kesi nzito itakayofunguliwa ICC.

Acha wafunguke tu
Huko kujifariji kwenu hakutawasaidia, kama mnalo la kufanya fanyeni. Hizi ngonjera zenu tushazizoea. Eti ICC
 
Back
Top Bottom