PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli CCM bila Polisi.......
 
Huyo mama hajifunzi kwa huyo mtu aliyepo nyuma yake?

Hajiulizi kuwa awamu iliyopita huyo mtu alikuwa top 3 ya "untouchable" na saa hizi si lolote tena ?
 
USA huwa wanatumia Askari wake nje ya mipaka yao kujenga uchumi wa nchi yao.
Trump amekwenda GCC na Saudia kuingia mikataba ya ulinzi ya hela nyingi sana kwa manufaa ya USA, tafsiri yake askari wa USA watatumika kuzilinda hizo nchi kwa maslahi ya USA.

Huku Mbunge ndani ya Bunge anashabikia Askari kuonea, kuua na kuumiza wananchi eti tu kukilinda chama tawaka
 
Alivyo na sura nzito kama yangu
Inasikitisha mtu mzima kwenye nafasi ya heshima kutoa kejeli za kishenzi kwa mtu mzima mwenye hadhi yake ambaye hajamfanyia kosa lolote. Eti mkorogo umebuma, kapaka poda. Yeye mwenyewe hajioni alivyo kiasili. Aibu sana kwa taifa.
 
Da jamani, wakenya wanatekenya kidogo tu,tena ni watu wa mtaani tu ,ila sisi bunge linatumia Kodi zetu kujadili huu ujinga?
 
Malaya wa kisiasa Hawa!
 
Huyu bibi ni shetani na mchawi, anashangilia watu kupigwa na polisi asee?
 
Uzuri haya yote tunayahifadhi kama ushahidi kwa hiyo kesi nzito itakayofunguliwa ICC.

Acha wafunguke tu
Huko kujifariji kwenu hakutawasaidia, kama mnalo la kufanya fanyeni. Hizi ngonjera zenu tushazizoea. Eti ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…