PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi huyu naye kweli ni wa kabila la Mtemi Mkwawa au ni kenge kwenye msafara wa mamba?
 
Unapambanisha askari aliyepata mafunzo kwa kodi za huyohuyo raia,unataka uone nani ni mwamba?
Kwanini asiende akawatoe hao anaosema wanashinda msituni,waende hata muhimbili pale wakashindane kutibu wagonjwa kazi ambayo hawakufunzwa,aone kama wataweza,sawa na kumpanisha raia aisye na mafunzo kupigana nao?
 
 
Inasikitisha mtu mzima kwenye nafasi ya heshima kutoa kejeli za kishenzi kwa mtu mzima mwenye hadhi yake ambaye hajamfanyia kosa lolote. Eti mkorogo umebuma, kapaka poda. Yeye mwenyewe hajioni alivyo kiasili. Aibu sana kwa taifa.
Hawa Hawa ndio wanamsema Bi Mkubwa Samia vibaya pembeni

Huyu mama ni katika Majitu yanayotajwa na Samia

Hili mama ni lishamba halijastarabika kabisa
 
Kenyans wamepost number ya simu ya huyo mpumbavu x, wamemsuuza kisawa sawa, wamempigia na kumtext text ksma zote za kumsuuza, atakoma ujinga,

haya namba hii hapo msuuzeni pia ashike adabu
 
Wanadhihirisha hata bunge linajua watekaji na wanaunga mkono.
 
Huyu ni hafai Tena ni mdhalilishaji,Ina maana yeye ni mzuri alivyo Hivyo,!Yaani hana Hekima na ufahamu si kwa maneno yale.
 
Hao ndo wabunge magufuli alikuwa akiwataka.
Tunaomba Cv ya huyu mwanamama
 
Kweli umechukia mpaka unakosea!Tawaka=Tawala.
 
Iko siku uongozi utaisha , tuombe uhai tu machozi ya watu yataleta majibu tu
 
Ndiyo maana Martha karua amesema hawezi kujibizana na wabunge wa Tanzania Kwa sababu ya akili ndogo za wabunge hao.kujibizana nao kungeshusha Hadhi ya msomi Martha karua wa kenya
 
Hawa Hawa ndio wanamsema Bi Mkubwa Samia vibaya pembeni

Huyu mama ni katika Majitu yanayotajwa na Samia

Hili mama ni lishamba halijastarabika kabisa
Sijui la mbuga za wanyama huko Rusha,halina staha na lugha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…