PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndiyo maana Martha karua amesema hawezi kujibizana na wabunge wa Tanzania Kwa sababu ya akili ndogo za wabunge hao.kujibizana nao kungeshusha Hadhi ya msomi Martha karua wa kenya
Martha Karua ni mtu kubwa, prominent lawyer, utalinganisha na akina Musukuma na wale wabunge wapumbavu waliokuwa wanaongea ugoro na ushuzi pale Dodoma? Mbona ameenda Uganda kwa kesi ya Kiiza Besyge na hawakumzuia pamoja na yule mnafiki mtoto wa m7 kumsifu mama anaepiga mwingi ila amemgeuka na kumruhusu aingie Uganda? Hii ngozi nyeusi ina laana kubwa sana!
 
Iringa ni watu wenye msimamo sana. ILA KWA HAPA MNAMBUNGE TAKATAKA. AKILI ZAKE ZIPO KWENYE MAKALIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…