Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Msameheni msajili wa vyama vya siasa anatetea cheo chake na usalama wake nchi haina utawala wa kisheria hii,
Watu watamlaumu msajili wa vyama vya siasa bure kumbe sio mapenzi yake wala kosa lake, lakini pia kufutwa kwa chama kikubwa Tanzania ni ngumu na inaweza kuchochea mabadiliko zaidi badala ya kujaribu kuzima mabadiliko.