Mlilitengeneza wenyewe,Kweli mkuu hili jina linaumiza Sana.
Nani aliyekipanda, nyinyi wapuuzi sanaPole mkuu,
Ila kaa ukijua tunaposema MbagalaUswahilini haina maana Mbagala yote uswahilini, kunasehemu nyingine ushuani,kama Mgeninani,Twangoma,kijichi n.k.
Sisapoti hiyo kitu ila ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna
Hata hao tweeter walilipata kutoka kwa muasisi wake Gwaji boy baada ya kusambaza yale makaratasi yake ya kuanzisha umoja waoHilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.
Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.
Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
Linafurahisha sanaKweli mkuu hili jina linaumiza Sana.
Kipindi chake pia alikuwa hawezi kujitetea ndio maana alikuwa anatumia risasi tu.Kuendelea kumtukana mtu aliyefariki na hawezi kujitetea. Ni akili za hovyo kupindukia.
Wasukuma watawapelekea moto chadema 2025 hadi wakome.Bora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
Hao sukuma gang watawapelekea moto chadema 2025 na hamtapata kura hata mojaHaliwezi kwisha maana walioliwezesha au kuliasisi walikuwa na maana yao.
Hivyo mtu akichagua jina wewe mtu wa pembeni huna budi kumuita kwa jina lake kipenzi
Wafuasi wa Mbowe ni wajinga mkuu!2025 hili neno litawacost sana, tukumbuke wale jamaa ni wengi mno
Mkuu kuna vitu havizungumziki hadharani lakini moyo wa mtu kichaka.Hizi chuki na masihara ni online tu. Kote ninapozunguka sisikii watu wakiambiana hizi ishu.
Also chadema watacostiwa kweli ni hili neno? Si ni wenyewe wamesema hawatashiriki uchaguzi?
Akili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchiwasukuma usipowanywa utawaoga kutwa mwenyekiti wenu anajipendekeza usukumani ndg saa hz hatudanganyiki tumetoka enzi zile za wachaga kujazana serikali sekta nyeti zoote za nchi kwa kweli mlipendeleana sana lkn impacts ya mlio kuanzisha hiki mtakiona hakika nakuambia wasukuma ni wengi tumejaa kila pahali tukishikamana hakuna utawala utakaotawala kwa Amani bila kutuhusisha sema ss ni watu poa sana mm nina marafiki zangu wa kabila zote wamo wachaga, wanyakyusa nk tunapendana ssana lkn ukija humu unakutana na ideologies za kitapeli za wanasiasa