Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Bora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
 
Pole mkuu,
Ila kaa ukijua tunaposema MbagalaUswahilini haina maana Mbagala yote uswahilini, kunasehemu nyingine ushuani,kama Mgeninani,Twangoma,kijichi n.k.
Sisapoti hiyo kitu ila ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna
Nani aliyekipanda, nyinyi wapuuzi sana
 
Haliwezi kwisha maana walioliwezesha au kuliasisi walikuwa na maana yao.

Hivyo mtu akichagua jina wewe mtu wa pembeni huna budi kumuita kwa jina lake kipenzi
 
Hilo neno lilitoholewa toka twitter, likapata airtime ya kutosha jf, sasa linafahamika Tanzania nzima.

Japo umesema wapo wasukuma waliopata maumivu enzi za mwendazake hasa wavuvi, lakini pia wengi wao walipendelewa sana.

Kama wale waliojenga kwenye hifadhi ya uwanja wa ndege walipotaka kuvunjiwa akasema wasivunjiwe coz walimpigia kura, kama vile hakupigiwa kura toka sehemu nyingine yoyote Tanzania isipokuwa Mwanza pekee.
Hata hao tweeter walilipata kutoka kwa muasisi wake Gwaji boy baada ya kusambaza yale makaratasi yake ya kuanzisha umoja wao
 
Wakisema sukuma gang,hawamaanish wasukuma wote,hilo neno lina maanisha kikundi kidogo cha wasukuma walionufaika na utawala wa kijinga wa pimbi pombe
 
Founder wa haya ni kayafa watu walipo kuwa wanapigà kelele juu ya mgawanyiko wa watu kwa aina ya siasa za JPM walionekana sio wazalendo na wapiga dili na wanao tumiwa na mabeberu

Watu kama wakina Gwajima kwa wazi kabisa bila hata aibu walianza kuhamasisha makundi ya kikabila ila hakuna aliye jali maana ndo mzee alipenda sasa mambo yamechange walio kuwa wanufaika wa mfumo wa mzee wako nje ndo wanakuja kulalamika"mtakura mliko peleka mboga"
 
Hizi chuki na masihara ni online tu. Kote ninapozunguka sisikii watu wakiambiana hizi ishu.

Also chadema watacostiwa kweli ni hili neno? Si ni wenyewe wamesema hawatashiriki uchaguzi?
 
Bora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
Wasukuma watawapelekea moto chadema 2025 hadi wakome.

Nmeona hata Mbowe nae anaingia kwenye mtego ule ule wa ubaguzi.

Chadema walivyo wajinga wanawatukana wasukuma huku wakijua bila kanda ya ziwa hawana urais.
 
Haliwezi kwisha maana walioliwezesha au kuliasisi walikuwa na maana yao.

Hivyo mtu akichagua jina wewe mtu wa pembeni huna budi kumuita kwa jina lake kipenzi
Hao sukuma gang watawapelekea moto chadema 2025 na hamtapata kura hata moja
 
Wasukuma usipowanywa utawaoga kutwa mwenyekiti wenu anajipendekeza usukumani ndg saa hz hatudanganyiki tumetoka enzi zile za wachaga kujazana serikali sekta nyeti zoote za nchi kwa kweli mlipendeleana sana lkn impacts ya mlio kuanzisha hiki mtakiona hakika nakuambia wasukuma ni wengi tumejaa kila pahali tukishikamana hakuna utawala utakaotawala kwa Amani bila kutuhusisha sema ss ni watu poa sana mm nina marafiki zangu wa kabila zote wamo wachaga, wanyakyusa nk tunapendana ssana lkn ukija humu unakutana na ideologies za kitapeli za wanasiasa
 
Hizi chuki na masihara ni online tu. Kote ninapozunguka sisikii watu wakiambiana hizi ishu.

Also chadema watacostiwa kweli ni hili neno? Si ni wenyewe wamesema hawatashiriki uchaguzi?
Mkuu kuna vitu havizungumziki hadharani lakini moyo wa mtu kichaka.

Hivi wakati wa stori kuwa Ridhiwani Kikwete amesema kaskazini hawatatoa Rais uliwahi kusikia watu wanaongea sana mtaani ?

Lakini matokeo yake uliyaona wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

CHADEMA ilipoteza ngome zake zote huko SUKUMA LAND na,

CCM ilipoteza ngome zake zote huko KASKAZINI.
 
wasukuma usipowanywa utawaoga kutwa mwenyekiti wenu anajipendekeza usukumani ndg saa hz hatudanganyiki tumetoka enzi zile za wachaga kujazana serikali sekta nyeti zoote za nchi kwa kweli mlipendeleana sana lkn impacts ya mlio kuanzisha hiki mtakiona hakika nakuambia wasukuma ni wengi tumejaa kila pahali tukishikamana hakuna utawala utakaotawala kwa Amani bila kutuhusisha sema ss ni watu poa sana mm nina marafiki zangu wa kabila zote wamo wachaga, wanyakyusa nk tunapendana ssana lkn ukija humu unakutana na ideologies za kitapeli za wanasiasa
Akili zao zinatosha tu kupiga kura, warudi kuchunga Ng'ombe sio kuongoza nchi

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom