Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Mbona hatujawahi kukusikia ukishauri KONDE GANG lisitumike?
Au nawe ni kati ya wanachama wa hilo sukuma gang?
Sisi tunaendelea na kazi tu nyinyi hangaikeni na hayo majina yenu ikifika 2025 tutajua nani anafaida au hasara.
 
Huo wote ulikuwa ni ubaguzi wa wana ccm kwa wasiyo wana ccm
 
Pumbaf,umesahau kuwa wakati mwendazake yupo madarakani nyie ndiyo mlijiita hilo jina kisa kujikomba ili mpatiwe teuzi?
Wewe ni mchaga? Sisi wachaga ni shemeji wetu tumeoa dada zao sana hivyo wakati mwingine wanatutania tu.
 
Kama yule mwenyekiti wa uvccm hivi ni jina gani anastahili kuitwa?
 
Kavurugwa tu huyo MATAGA wa lumumba
 
Haya mataga wanawachukia sana wachagga sijui kwanini?
Sisi wasukuma hatuna shida na wachaga kwa kwa kuwa tumeoa dada zenu kwa sana tu. Ila baada ya kibano cha Rais Magufuli kwenye wizi wa mali za umma ndipo wachaga wakaanza kutuchukia lakini sisi hatuwaachi dada zenu! Si ni weupe peeee!!
 
Taja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?

Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
( Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu) Hapa umechapia hao ni kabila dogo sana klk ukweli ulio wazi kuhusu tabia ya kibaguzi ambayo ilipaliliwa na awamu ya tano. na mbaya zaidi hamuwezi kuizuia hata sasa mwataka iendelee
 
Mimi ni msukuma nimefadhaika sana baada ya kusoma comments😐
Mkuu, hata usingekuwa msukuma, bado ingefadhaisha sana kusikia mijadala ya namna hii.
Lakini kumbuka, hili si jipya hata kidogo.

Kwa bahati mbaya sana, jambo hili limechagizwa sana wakati wa utawala wa Magufuli, na hakuna aliyelikemea.

Kwa hiyo pamoja na kufadhaika, fahamu kwamba hali hii haikuibuka ghafla hivi. Ni hali ambayo imeanza kuota mizizi na kushamiri wakati wa utawala wa Magufuli.
Lazima kutakuwa na sababu muhimu kwa nini iwe hivi.
 
Halafu ni Majinga sana.
 
Masukuma yalijitia Hii Nchi ni Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…