Sisi tunaendelea na kazi tu nyinyi hangaikeni na hayo majina yenu ikifika 2025 tutajua nani anafaida au hasara.Mbona hatujawahi kukusikia ukishauri KONDE GANG lisitumike?
Au nawe ni kati ya wanachama wa hilo sukuma gang?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunaendelea na kazi tu nyinyi hangaikeni na hayo majina yenu ikifika 2025 tutajua nani anafaida au hasara.Mbona hatujawahi kukusikia ukishauri KONDE GANG lisitumike?
Au nawe ni kati ya wanachama wa hilo sukuma gang?
Huo wote ulikuwa ni ubaguzi wa wana ccm kwa wasiyo wana ccmKuna kipindi ilikua kawaida kukuta utani wa wasukuma mitandaoni mpaka Rais akatishia watu kufungwa.
Kuna mwaka ikawa ukimsema mtu kisa kavaa yeboyebo unapelekwa polisi.
Hii nchi ina historia nyingi za komedi.
Kuna kipindi ilisemwa ikatokea umemsema mtu aliyevaa nguo ya ccm jiandae kushughulikiwa.
Tulieni sasa kuitwa MATAGA na sukuma gang.Wivu ndio unaokusumbua.
Wewe ni mchaga? Sisi wachaga ni shemeji wetu tumeoa dada zao sana hivyo wakati mwingine wanatutania tu.Pumbaf,umesahau kuwa wakati mwendazake yupo madarakani nyie ndiyo mlijiita hilo jina kisa kujikomba ili mpatiwe teuzi?
Tena walimtelekeza akiwa kidato cha piliWachaga walikupa mimba wajakutelekeza nini?
Siku hizi hata ukiwa kwenye basi au sehemu zenye watu wengi wakipigiwa hawapokei maana wanaogopa kujulikanaWasukuma sasa macho yanawatoka kama mjusi aliye banwa na mlango
Wacha wavune walicho kipandaNi kweli lakini haya yote aliyapandikiza mwendazake
Haya mataga wanawachukia sana wachagga sijui kwanini?Mwaga mafutataa shimoni nyoka wote watatoka
Kama yule mwenyekiti wa uvccm hivi ni jina gani anastahili kuitwa?Mifano uliyotoa haiendani na sukuma gang. Intarahamwe ni neno lenye maana sawa na watu wa kuja (wasio wenyeji). Neno hili linatumika kuwataja wanyarwanda waliopo Congo DRC, fascism ni mfumo wa kutawala kimabavu. Sukuma gang linatumika katika kueleza kundi wa wasukuma lililokuwa limemzunguka mwendazake na likiwa na mamlaka ya kujipangia chochote.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kavurugwa tu huyo MATAGA wa lumumbaUmemalizia vizuri lakini umeanza vibaya. "Interahamwe" kilikuwa kikundi cha kijeshi cha Wahutu nchini Rwanda kilichokuwa na lengo la kuua na kumaliza Watusi na wenye mlengo kama wao. Neno lenyewe linamaanisha "Piga pamoja". Umechanganya na " Banyamulenge" ambao ndo Wanyarwanda walioko milima ya Mulenge nchini Kongo.
Mwenyekiti wa uvccmNipe majina ya watu waliomo humu na influence yao katika maamuzi ya nchi
Ni watanzania wooteSi wachaga peke yake tuko wengi
Sisi wasukuma hatuna shida na wachaga kwa kwa kuwa tumeoa dada zenu kwa sana tu. Ila baada ya kibano cha Rais Magufuli kwenye wizi wa mali za umma ndipo wachaga wakaanza kutuchukia lakini sisi hatuwaachi dada zenu! Si ni weupe peeee!!Haya mataga wanawachukia sana wachagga sijui kwanini?
( Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu) Hapa umechapia hao ni kabila dogo sana klk ukweli ulio wazi kuhusu tabia ya kibaguzi ambayo ilipaliliwa na awamu ya tano. na mbaya zaidi hamuwezi kuizuia hata sasa mwataka iendeleeTaja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?
Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Mkuu, hata usingekuwa msukuma, bado ingefadhaisha sana kusikia mijadala ya namna hii.Mimi ni msukuma nimefadhaika sana baada ya kusoma comments😐
Halafu ni Majinga sana.Wasukuma mtanisamehe, Hili ndo kabila pekee ambalo unakubaliana na mtu vizuri jambo then mkikutana baada ya masaa mawili ana mawazo mengine tofauti kabisa. Mfano Hayati alivyahidi 2015 na pushup fake na alichokifanya kwa miaka aliyopewa, SUKUMA GANG ni vigeugeu..
Masukuma yalijitia Hii Nchi ni Yao.Mkuu, hata usingekuwa msukuma, bado ingefadhaisha sana kusikia mijadala ya namna hii.
Lakini kumbuka, hili si jipya hata kidogo.
Kwa bahati mbaya sana, jambo hili limechagizwa sana wakati wa utawala wa Magufuli, na hakuna aliyelikemea.
Kwa hiyo pamoja na kufadhaika, fahamu kwamba hali hii haikuibuka ghafla hivi. Ni hali ambayo imeanza kuota mizizi na kushamiri wakati wa utawala wa Magufuli.
Lazima kutakuwa na sababu muhimu kwa nini iwe hivi.
Kwa hiyo ni Genge la Wasukuma.Hili neno limeanzishwa na wachaga.