Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

I dont think kama tatizo lipo kwenye kutumia hiyo expression - hizo ni symptoms tu.
Tatizo ni mzizi wake au chanzo chake - hichi lazima kiangaliwe kwa jicho la tatu ili huko mbele kisije kikazaa expressions nyingine kama "ZANZIBAR GANG", "KONDE GANG", "ZARAMO GANG", "GOGO GANG", "WALOKOLE GANG", "JIHADIST GANG", etc, etc.
 
Nauliza tu, Sukuma gang inahusu wasukuma tu au hata makabila nje ya wasukuma?
 
Mkuu wala usiumize kichwa hii ndio bongo mambo ya mitandaoni yanaishia huko huku mtaani ni mambo mengine kabisaaaa watu wako busy ku run maisha yao.
 
Unawasema wachagga vibaya ila sukuma gang ikisemwa unaumia, ubaguzi ni ubaguzi tu sio ukisemwa kwako eti unaumia na kusakizia wengine. Bora hata wachagga ni smart nyie sukuma gang ndo empty set mumefanya madudu na maujinga mengine Hadi aibu, na huyo mungu mtu wetu angeendelea kuwepo angepeleka nchi shimoni kabisa.
 
Hili genge la kisukuma likafie mbali huko.... Ni uchafu ulioasisiwa na magu makonda na gwajima..... Wameharibu nchi tayari
Pumbavu mkubwa

Huoni ukabila na ukanda umeanzia Kaskazini na kupewa nguvu na chadema,ukweli hua mnaujua japo mnaupotezea
 
Nitajie majina ya mawaziri watatu waliokuwa wasukuma, ukiweza nipo tayari kufanywa lolote.
Medard KALEMANI-madini
Innocent bashungwa- michezo
Hamis kingwangala- utalii
Jenista mhagama- ajira na Kaz
 
Ebu leta data za uchaguzi wa 2020 mkuu tuone mwenda zake alipata kura kiasi gani huko kwa Wachaga.
 
Ww ndio unaleta ukabila kwahy unataka sisi wengine tusiokua wamakonde tusijiite Konde gang huo ni ubaguz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…