Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wasukuma safari hii ni shida sanaNyani haoni kundule nyie sukuma gang ushamba wenu na madudu yenu mnasingizia wachagga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma safari hii ni shida sanaNyani haoni kundule nyie sukuma gang ushamba wenu na madudu yenu mnasingizia wachagga?
I dont think kama tatizo lipo kwenye kutumia hiyo expression - hizo ni symptoms tu.Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.
Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Nauliza tu, Sukuma gang inahusu wasukuma tu au hata makabila nje ya wasukuma?Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.
Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Kila lakheri huko mjini shekhe.Zama za ushamba zilishaisha,Ni wakati wenu wa kurudi kule kwenu nyan'gwale kupanda fisi za kichawi ndio tallent yenu[emoji3]
Labda rais wa Ibadakuliwasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.
WASUKUMA NA WALIOKUWA WANAFAIDIKA KUPITIA USUKUMANauliza tu, Sukuma gang inahusu wasukuma tu au hata makabila nje ya wasukuma?
Ukisikia sukuma gang akili yako inawaza wasukuma tu kwa ukabila?mkuu THE LOST usipambane na wajinga, wajinga hupuuzwa
Walioshikilia msemo huo, wengi ukiwaambia wakutajie majina ya wasukuma kwenye serikali ya Magu, watamtaja hadi Majaliwa na Bashiru
Ni vichwa panzi tuwapuuze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona jina limependeza tu bila hata suti na tai [emoji75][emoji75][emoji75]!!!
Au ulitaka waite kiswaga “K.U.M.A GANG!!!”
Wacha upuuzi wewe, toa maana nyingine ya hilo neno sasa!Ukisikia sukuma gang akili yako inawaza wasukuma tu kwa ukabila?
Waza nje ya box
Wamejizalilisha wenyewe kwa kufanya madudu na kutumia nguvu kuliko akili, Sasa Wana blame wengineWasukuma safari hii ni shida sana
Unawasema wachagga vibaya ila sukuma gang ikisemwa unaumia, ubaguzi ni ubaguzi tu sio ukisemwa kwako eti unaumia na kusakizia wengine. Bora hata wachagga ni smart nyie sukuma gang ndo empty set mumefanya madudu na maujinga mengine Hadi aibu, na huyo mungu mtu wetu angeendelea kuwepo angepeleka nchi shimoni kabisa.Ushawai ona mchaga anachagua kabila lingine limuongoze?
wachaga ni wabaguzi sana na ndio wanaeneza sumu mbaya dhidi ya wasukuma. Yani wao wakiungwa mkono ni demokrasia ila wasukuma wakiungwa mkono ni ukabila. Ndio maana chadema haitakaa itoboe tena usukumani.
Sawa kwahiyo hata Ndugai na polepole ni Sukuma gang?WASUKUMA NA WALIOKUWA WANAFAIDIKA KUPITIA USUKUMA
Pumbavu mkubwaHili genge la kisukuma likafie mbali huko.... Ni uchafu ulioasisiwa na magu makonda na gwajima..... Wameharibu nchi tayari
Medard KALEMANI-madiniNitajie majina ya mawaziri watatu waliokuwa wasukuma, ukiweza nipo tayari kufanywa lolote.
Ushawai ona mchaga anachagua kabila lingine limuongoze?
wachaga ni wabaguzi sana na ndio wanaeneza sumu mbaya dhidi ya wasukuma. Yani wao wakiungwa mkono ni demokrasia ila wasukuma wakiungwa mkono ni ukabila. Ndio maana chadema haitakaa itoboe tena usukumani.
WASUKUMA NA WALIOKUWA WANAFAIDIKA KUPITIA USUKUMA