Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Gang ni neno la kiingereza lenye maana ya kikundi/kundi. Kwani Gwajima alikuwa anahamasisha wasukuma waunde nini ili kudhibiti wanaompinga mmarehemu? Mwenye voice ya Gwajima aiweke hapa.
 
John Joseph Pombe magufuli hakuwa Msuuma. Hakuna Mtanzania wa kiukweli anaweza akawa na ukatili wa kiwango kile. Yasemekana Mwendazake alikuja kutoka Burundi na mama yake na ndipo Msukuma Mzee Magufuli akamu asili baada ya kumuoa mama yake
 
Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania ndio jamii ya watu wengi zaidi.

Ni wapole kwa asili vinginevyo hizi dharau zilizoibuka kuanzia 2015 kama wangekuwa ni watu wakorofi leo hii Tanzania ingewaka moto.

JPM ameshazikwa na hawezi kujitetea, kwa maadili ya kawaida tu sio ustaarabu kumkejeli aliyekwisha ondoka milele.

Natumaini wale members humu ndani wenye akili za kikubwa hawatachoka kuwafunza maadili wale wote wasioifahamu hatari ya kuhubiri ukabila na ubaguzi wa kikanda.
 
Gwajima alipoanzisha kampeni chafu ya wasukuma kumtetea mwendakuzimu mbona hamkukemea?
 
Bora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
Yaani wasukuma wamelichukulia vizuri tena sasa hivi wanajiita kwa kujidai kabisa manake limewaunganisha kuwa kitu kimoja. Imekuwa ni kinyume cha matarajio ya aliyelianzisha. Na sasa hivi kigogo mwenyewe halitumii kaona impact imekuwa postive badala ya negative alivyotaka
 
Uchaguzi wa 2025 ndio nini? Sisi mambo ya uchaguzi kwa sasa sio kipaumbele maana imekuwa ni kiini macho tu. Sisi kwa sasa tupo kwenye maslahi ya Taifa zaidi kuliko hizo siasa za uchaguzi. Potelea mbali tusishiriki uchaguzi wowote lakini tutaendelea kuwa upande wa kupigania haki na maendeleo ya watu. Hatuwezi kuogopa kukemea tabia mbaya kama za yule msukuma mwendazake na Sukuma Gang yake eti kwa kuogopa kunyimwa kura! Kwanini wasukuma hawakumkemea msukuma mwenzao kwa kulichafua kabila lao? Kwa kweli hata mtoto wangu siwezi kukubali kuoa au kuolewa na Msukuma. Ni kabila la watu hatari na makatili sana kama alivyokuwa JIWE. Hawana utu hata kidogo. Unawezaje kuamuru binadamu mwenzako apotezwe hata kaburi lake lisionekane?"Unampigaje risasi mwenzako kisa siasa au kisa amakukosoa? Kwa kweli kama kuna Msukuma atakuja kugombea madaraka makubwa ya kuongoza nchi siwezi kumpa kura yangu. Ni wabinafsi, wachoyo na wanaopenda kupendelea upande wao tu. Angalia hii orodha ya wasukuma wa watu wa kanda ya ziwa walivyopeana vyeo katika awamu ya Jiwe
1. Rais wa Tanzania (Msukuma)
2.Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama (Msukuma)
3. Jaji Mkuu (Msukuma)
4. DPP (Msukuma)
5. RC Dar (Msukuma)
6. Mkuu wa hazina ya Serikali (Msukuma)
7. Naibu waziri wa Ardhi (Msukuma)
8. IGP (Kanda ya Ziwa)
9. Waziri wa Viwanda na Biashara (Msukuma)
10. Waziri wa Mifugo na Uvuvi (Msukuma)
11 (Mkuu wa Mkoa wa Mtwara (Kanda ya Ziwa)
12. Mwanasheria wa Serikali (Kanda ya Ziwa)
Orodha ni ndefu siwezi kumaliza leo wala kesho
 
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
We mzee una matatizo sana
 
Mkuu hakuna rais anayefanya kazi bila ya kuzungukwa na watu anaowaamini.

Na ipo hivyo dunia nzima. Kila alichokifanya hayati kilikuwa ni kwa faida ya Tanzania kwa ukubwa wake.

Alitumikia watu Ndio maana akaagwa na mamilioni ya watu barabarani.

Nyerere alizungukwa na jamaa zake. Mwinyi akizungukwa na jamaa zake. Mkapa na Kikwete walikuwa na wasiri wao karibu.
 
QUOTE="masopakyindi, post: 39217262, member: 47580"]
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
[/QUOT
Safi Sana Mkuu,umeongea kitu ambacho huwa nakiwaza Sana na bahati mbaya watu Wengi hawakijui.

Yule James hakuan Msukuma na wasukuma hawama roho ya vile,sema alitaka kutake advantage nakuwatumia wasukuma kwa manufaa yake kisiasa.

Ila Sema anatokea Sukuma land.
 
Ukitaka kuishi kwa amani;
usiwasikikize /kuwafatilia wapumbavu.
 
John Joseph Pombe magufuli hakuwa Msuuma. Hakuna Mtanzania wa kiukweli anaweza akawa na ukatili wa kiwango kile. Yasemekana Mwendazake alikuja kutoka Burundi na mama yake na ndipo Msukuma Mzee Magufuli akamu asili baada ya kumuoa mama yake
yaweza kuwa ww ni jambazi
Basically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.

Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
Magufuli ni shujaa wetu wewe tapeli acha unonko
 
Ni kweli kama unavyosema! Makosa ya Mwendazake yasihusishe kabila lote la Wasukuma.
Wapo Wasukuma wengi waliotaka mabadiliko.
 
Mkuu hakuna rais anayefanya kazi bila ya kuzungukwa na watu anaowaamini.

Na ipo hivyo dunia nzima. Kila alichokifanya hayati kilikuwa ni kwa faida ya Tanzania kwa ukubwa wake.

Alitumikia watu Ndio maana akaagwa na mamilioni ya watu barabarani.

Nyerere alizungukwa na jamaa zake. Mwinyi akizungukwa na jamaa zake. Mkapa na Kikwete walikuwa na wasiri wao karibu.
Huyu JIWE alizidi kuwa na Roho mbaya ya kupindukia. Ametufanya tuwaone wasukuma ni kama mashetani fulani hivi.
 
Nakuhakikishia kuwa 2025 tutaidelete kabisa CHADEMA haitakuwepo maana kimekuwa kikundi cha kigaidi kabisa
 
Back
Top Bottom