Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wakeAlichobariki Mungu mwanadamu hawezi kulaani unajisumbua bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wakeAlichobariki Mungu mwanadamu hawezi kulaani unajisumbua bure
Gwajima alipoanzisha kampeni chafu ya wasukuma kumtetea mwendakuzimu mbona hamkukemea?Wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania ndio jamii ya watu wengi zaidi.
Ni wapole kwa asili vinginevyo hizi dharau zilizoibuka kuanzia 2015 kama wangekuwa ni watu wakorofi leo hii Tanzania ingewaka moto.
JPM ameshazikwa na hawezi kujitetea, kwa maadili ya kawaida tu sio ustaarabu kumkejeli aliyekwisha ondoka milele.
Natumaini wale members humu ndani wenye akili za kikubwa hawatachoka kuwafunza maadili wale wote wasioifahamu hatari ya kuhubiri ukabila na ubaguzi wa kikanda.
Yaani wasukuma wamelichukulia vizuri tena sasa hivi wanajiita kwa kujidai kabisa manake limewaunganisha kuwa kitu kimoja. Imekuwa ni kinyume cha matarajio ya aliyelianzisha. Na sasa hivi kigogo mwenyewe halitumii kaona impact imekuwa postive badala ya negative alivyotakaBora wewe mpinzani mwenzao umenena, mi pia nililichukia lakini sasa nimelizoea, naona limekaa poa, litaimarisha umoja wa wasukuma na kuwa na common objectives. Kwa Hiyo wasukuma kama kabila kiongozi ndo watakua waamuzi wa vitu vingi vya msingi. Asante mlio tuletea hilo jina. Endeleeni kutuunganisha.
Unalipiza kisasa? Unazijua hasara zake?.Gwajima alipoanzisha kampeni chafu ya wasukuma kumtetea mwendakuzimu mbona hamkukemea?
We mzee una matatizo sanaBasically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.
Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
KQusema ukweli siyo kulipiza kisasa ni kumfanya mtu abadilikeUnalipiza kisasa? Unazijua hasara zake?.
yaweza kuwa ww ni jambaziJohn Joseph Pombe magufuli hakuwa Msuuma. Hakuna Mtanzania wa kiukweli anaweza akawa na ukatili wa kiwango kile. Yasemekana Mwendazake alikuja kutoka Burundi na mama yake na ndipo Msukuma Mzee Magufuli akamu asili baada ya kumuoa mama yake
Magufuli ni shujaa wetu wewe tapeli acha unonkoBasically wasukuma wanaonewa bure.
Mwendazake alijivika ngozi ya usukuma kuficha tabia zake mbovu ambazo wasukuma hawanazo.
Ni juu ya wasukuma kukataa waziwazi kuwa Magufuli hakuwa msukuma.
Huyu JIWE alizidi kuwa na Roho mbaya ya kupindukia. Ametufanya tuwaone wasukuma ni kama mashetani fulani hivi.Mkuu hakuna rais anayefanya kazi bila ya kuzungukwa na watu anaowaamini.
Na ipo hivyo dunia nzima. Kila alichokifanya hayati kilikuwa ni kwa faida ya Tanzania kwa ukubwa wake.
Alitumikia watu Ndio maana akaagwa na mamilioni ya watu barabarani.
Nyerere alizungukwa na jamaa zake. Mwinyi akizungukwa na jamaa zake. Mkapa na Kikwete walikuwa na wasiri wao karibu.
wewe utakuwa jambaziHuyu JIWE alizidi kuwa na Roho mbaya ya kupindukia. Ametufanya tuwaone wasukuma ni kama mashetani fulani hivi.
Nyerere mwenyewe hakuwa na hamu na wasukuma na alikataa hii mikabila mikubwa kubwa ya watu makatili kupewa u-Rais wa nchiNever and never again, Msukuma kupewa hii nchi aongoze, kumbe ndio maana hata Uwaziri Mkuu hawakuwahi kupewa,
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app