Nadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.watanzania wivu, uvivu , kurogana na majungu ndoo tunaweza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.watanzania wivu, uvivu , kurogana na majungu ndoo tunaweza.
Enzi za mwenda zake huu mradi ulipigwa stop. Ukasimama. Naona uliendelezwa aliporudisha gozi kwa kipa.Hii ni kati ya miradi ya kifisadi iliyokuwa ilibuniwa na nssf ikishirikiana na CCM kupiga pesa za wafanyakazi. Msonga, Dr Dau....
Mkuu ukubwa wa vyumba si wa kiwango cha hoteli ya nyota tano- sasa hapo wivu uko wapi?Nadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.
Dah! Mambo mengine yanasikitisha sana.View attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Naunga mkono hojaNadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.
Mkuu inamaana hii picha TU inaweza kutuonesha ukubwa wa vyumba?Mimi sijui masuala haya,embu nisaidie [emoji120]NATANGULIZA SHUKUUURAANView attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Aliyekuambia AFCON wanataka nyota 5 Naniwazo zuri ila itapunguza uwezekano wa kupewa fursa ya kuandaa AFCON
Atakuwa wa kutoka open university!Wasanifu kutoka chuo cha MUST au UCLASS,??? Ila UCLASS ni the best... kwenye usanifu... hawawezi kufanya hivi..
Ulishafika ukapaona hakuna parking? Kwa taarifa yako hiyo hotel ina kiwanja kikubwa mno maana kinavuka hata upande wa pili wa barabara. Mpango wao ilikuwa waweke flyover ili kule ziwani kuwe na parking pia pamoja na sehemu ya kupunga upepo wa bahari!😁😁😂😂😂😂Mbona hotel yenyewe haina parking? Hiyo pia inapunguza unyota 5 wake!
Ndiyo sisi hao, yote hayo si kwamba hawakuyajua ila kuna jambo walitegeshea ili malengo yao yawe mwisho wa siku wavune na kweli watavunaHili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Kwani hizo nyota 5 nani kaipatia? Kama imepatiwa na shirika husika la kimataifa kwa kukidhi viwango, wewe unakosoa kama nani? Kama hizo nyota tano zimetolewa na shirika letu husika kwa kukidhi viwango vyetu vya Tanzania (local standards), tatizo liko wapi? Hata kama hizo nyota wamejipa wenyewe, kwani kuna sheria yo yote inayowazuia? Hongera sana kwa mhandisi msanifu majengo mtanzania mzalendo kwa kubuni jengo hilo la hoteli zuri kuliko majengo yote ya hoteli yaliyoko mjini Mwanza. Wanamwanza wamelipa nyota sita.View attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Injinia atakuwa kasomea urusi haya majengo nimeyaona sana kule urusi.View attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Huu mradi ungejengwa kanda Fulani ungesifiwa Sana wamesahau ulianzishwa mwaka gani,nahisi ukikamilika kuna watu watakosa wateja maana umbali wa Mwanza na Serengeti kuna hoteli zitafungwa tu[emoji2][emoji2]Injinia atakuwa kasomea urusi haya majengo nimeyaona sana kule urusi.
Hapo mtu anaweza lipanda kwa urahisi tu maana limekaa kama ngazi. Mimi wasiwasi wangu ni huo kuwa wezi watakuwa wanapanda kwenda juu kirahisi maana wamewekewa ngazi kabisa kupanda juu ya paa...View attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
[emoji28]Sijui Kwann Kila unaoletwa Mwanza..nyie wachawi Huwa mnakuwa na la kuongea ........Kwamba we Master hotel .hotel zote unazijua [emoji15]