Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

Huu mradi ungejengwa kanda Fulani ungesifiwa Sana wamesahau ulianzishwa mwaka gani,nahisi ukikamilika kuna watu watakosa wateja maana umbali wa Mwanza na Serengeti kuna hoteli zitafungwa tu[emoji2][emoji2]
Kabisa yaani shida hapo ni mkoa ilipojengwa yaani watu wamejaa wivu balaa na roho mbaya za kichwawi.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kachezea space.
Majengo ya kudumu hayatakiwi yawe ya fashion,maana ikiisha fashion nayo uisha fashion
 
Ushauri gani wa roho mbaya tu!yeye aliviona lini hivyo vyumba. Kwahiyo NSSF ni wajinga wawekeze pesa zote hizo karibu b 80 halafu waweke vyumba vidogo?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Msanifu aliyesaniofu hili jengo ndiye aliyesanifu jengo la PPF Mwanza ambalo lina hoteli inayoendeshwa na Goldcrest- ali copy na ku paste ukubwa wa vyumba
 
Mpaka naleta hii mada- vipimo vyake ni vidogo kuliko viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota tano, na hili ni CONCERN kwa anayetaka kuichukua ile aiendeshe bila kubadili lengo la kuwa na hoteli ya nyota tano Mwanza
Kwahiyo wewe ndie unapitisha hadhi za Hotel kuwa na nyota kadhaa?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
What about others!?
That is a good question. The answer to that is that we go for the standard, especially when the other part is not local. This issue has cropped up because the would-be investor is a foreigner.
 
Kwahiyo wewe ndie unapitisha hadhi za Hotel kuwa na nyota kadhaa?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Mkuu usinipe sifa ambazo siyo zangu. Wenye jengo wanasema wamejenga hoteli ya nyota 5. Wanayetaka kumpa kuindesha anataka hoteli ya hadhi ya nyota 5 ila vyumba vyake havifikii kiwango cha nyota tano. Sasa wewe unaghazabika wapi?
 
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5.

View attachment 2660462
Wewe ulienda ukapima? kwahiyo wewe unajua sana kuliko walioweka fedha kuijenga? Kwahiyo Hotel zote za nyota 5 duniani zinalinga vyumba au kwasababu ni Mtanzania amefanya hiyo kazi sasa tunaanza roho mbaya kama kawaida yetu.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usinipe sifa ambazo siyo zangu. Wenye jengo wanasema wamejenga hoteli ya nyota 5. Wanayetaka kumpa kuindesha anataka hoteli ya hadhi ya nyota 5 ila vyumba vyake havifikii kiwango cha nyota tano. Sasa wewe unaghazabika wapi?
Waliojenga wanasema ni nyota 5 wewe unasema haina vyumba vya hadhi ya nyota 5! nimekuuliza wewe unajua sana kuliko wao?halafu ni lazima Hotel zote za nyota 5 zilingane ukubwa wa vyumba?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mjengo umekaa poa sana wafanye modification kidogo

Binafsi linavutia hata kuliona tu
Ndicho nilichosema na ndicho mwekezaji atakachoenda kufanya
 
Waliojenga wanasema ni nyota 5 wewe unasema haina vyumba vya hadhi ya nyota 5! nimekuuliza wewe unajua sana kuliko wao?halafu ni lazima Hotel zote za nyota 5 zilingane ukubwa wa vyumba?

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Unafikiri sina huo uwezo wa kubaini kama chumba hakifikii kiwango cha chini kabisa cha hoteli ya nyota 5? Mkuu unakosea sana kunichukulia poa.
 
Kwani hizo nyota 5 nani kaipatia? Kama imepatiwa na shirika husika la kimataifa kwa kukidhi viwango, wewe unakosoa kama nani? Kama hizo nyota tano zimetolewa na shirika letu husika kwa kukidhi viwango vyetu vya Tanzania (local standards), tatizo liko wapi? Hata kama hizo nyota wamejipa wenyewe, kwani kuna sheria yo yote inayowazuia? Hongera sana kwa mhandisi msanifu majengo mtanzania mzalendo kwa kubuni jengo hilo la hoteli zuri kuliko majengo yote ya hoteli yaliyoko mjini Mwanza. Wanamwanza wamelipa nyota sita.
Pantaleo ndoo mbunifu , jamaa yupo vizuri sana ni kichwa sanaa
 
Back
Top Bottom