Udom hawana hiyo course kabisa.Msanifu wa udom huyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udom hawana hiyo course kabisa.Msanifu wa udom huyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hapo mtu anaweza lipanda kwa urahisi tu maana limekaa kama ngazi. Mimi wasiwasi wangu ni huo kuwa wezi watakuwa wanapanda kwenda juu kirahisi maana wamewekewa ngazi kabisa kupanda juu ya paa...
Ndiyo ila naona kabisa mtu anaweza kupanda kama ngazi.Hizo zinaoonekana kama ngazi, ni picha tu Mkuu, Ni parefu yaani gorofa
moja na lingine
Unafikiri hadi hiyo michoro inapitishwa ni msanifu mmoja tu kahusika? Wao wameangalia standards wanazoweza kumudu asilimia kubwa ya watu wanaowalenga. Huwezi fananisha hoteli ya nyota 5 Dubai na ya Mwanza, kule wanalenga soko tofauti na huku..,View attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Ndiyo ila naona kabisa mtu anaweza kupanda kama ngazi.
Kwanini?hilo jengo litakuwa na mapopo, atakaechukua kila la kheri
Lilijengwa lini? Maana tusijadili ambcho pengine kwa Leo ndio inaonekana imekosewa wakati wakati huo ilikuwa sawa.
Chumba cha nyota 5 kinatakiwa kiwe na urefu na upana gani na hivi kwenye hii hoteli vina ukubwa gani. Maana naona unaishia kusema ni vidogo ila husemi huo udogo umeupima vp. Je tunaweza pata picha ya chumba hata kimoja kama mfano, isije kuwa yaleyale ya Tz na ma engineer misheni town wazee wakuponda kazi za wenzaoView attachment 2660462
Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaje aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabiti achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia kiwango cha hoteli ya nyota 5
Tupe vipimo vya vyumba vya NSSF Hilton hotel Mwanza5-star hotel room size
The standard size of a 5 star hotel room will vary, particularly from country to country.
Some regulators say that a room should be a minimum of 200 square feet (18.5 square metres) excluding the bathroom. In certain areas of Spain, the 5 star hotel room size for double occupancy must be at least 183 square feet (17 square metres). Meanwhile, 5 star hotel rooms in the US are generally expected to be over 400 square feet (37 square metres).
Experience, function, comfort and amenities will largely outweigh square footage when it comes to guest satisfaction, particularly for those paying a premium for 5 star or luxury accommodation.
5-star hotels in particular must therefore provide guests with exceptional service. Amenities and services to consider including are:
- Laundry, ironing, dry cleaning and shoe polishing
- Luxury robes & slippers
- Safe and lock boxes
- Full length mirrors with lighting
- Air conditioning
- Smart, flat-screen TV
- Fully stocked mini bar complete with all relevant accessories
- High-speed wifi
- Multiple lighting settings
- Bedding with high thread-count
- Blackout shades
- Luxury toiletries and personal care products
- Coffee machine
- Comfortable seating and entertaining area
- 24/7 gym access
- Pool, spa and sauna
- 24/7 access to room service
ili kuweka mambo yote hayo chumba lazima liwe kikubwa kiasi
nimeshaweka humu ndani- usome tu utaonaChumba cha nyota 5 kinatakiwa kiwe na urefu na upana gani na hivi kwenye hii hoteli vina ukubwa gani. Maana naona unaishia kusema ni vidogo ila husemi huo udogo umeupima vp. Je tunaweza pata picha ya chumba hata kimoja kama mfano, isije kuwa yaleyale ya Tz na ma engineer misheni town wazee wakuponda kazi za wenzao
Mpaka naleta hii mada- vipimo vyake ni vidogo kuliko viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota tano, na hili ni CONCERN kwa anayetaka kuichukua ile aiendeshe bila kubadili lengo la kuwa na hoteli ya nyota tano MwanzaTupe vipimo vya vyumba vya NSSF Hilton hotel Mwanza
Wewe unapajua hapo?Mbona hotel yenyewe haina parking? Hiyo pia inapunguza unyota 5 wake!
Vipimo vya vyumba vikoje na vya nyota tano vinatakiwa viweje?Mkuu ukubwa wa vyumba si wa kiwango cha hoteli ya nyota tano- sasa hapo wivu uko wapi?
Yaani watu wamejaa wivu balaa.watanzania wivu, uvivu , kurogana na majungu ndoo tunaweza.
Kabisa yaaniNadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.
Wewe umefika ukaviona?Mkuu ukubwa wa vyumba si wa kiwango cha hoteli ya nyota tano- sasa hapo wivu uko wapi?