Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

watanzania wivu, uvivu , kurogana na majungu ndoo tunaweza.
Nadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.
 
Nadhani ingejengwa na mchina au Mturuki wala usingesikia majungu haya. Tatizo hapa ni kwasababu imesanifiwa na Mbongo mwenzetu. Na huyu aliyeleta hii post ana WIVU na CHUKI binafsi tu.
Mkuu ukubwa wa vyumba si wa kiwango cha hoteli ya nyota tano- sasa hapo wivu uko wapi?
 
Dah! Mambo mengine yanasikitisha sana.

Niliwahi kufika Ngurudoto kipindi cha uhai wake.

Ile ilikuwa Hotel bana...

R.I.P Magu.
R.I.P Ngurdoto
 
Mkuu inamaana hii picha TU inaweza kutuonesha ukubwa wa vyumba?Mimi sijui masuala haya,embu nisaidie [emoji120]NATANGULIZA SHUKUUURAAN
 
Sijui Kwann Kila unaoletwa Mwanza..nyie wachawi Huwa mnakuwa na la kuongea ........Kwamba we Master hotel .hotel zote unazijua [emoji15]
 
Mbona hotel yenyewe haina parking? Hiyo pia inapunguza unyota 5 wake!
Ulishafika ukapaona hakuna parking? Kwa taarifa yako hiyo hotel ina kiwanja kikubwa mno maana kinavuka hata upande wa pili wa barabara. Mpango wao ilikuwa waweke flyover ili kule ziwani kuwe na parking pia pamoja na sehemu ya kupunga upepo wa bahari!😁😁😂😂😂😂
 
Ndiyo sisi hao, yote hayo si kwamba hawakuyajua ila kuna jambo walitegeshea ili malengo yao yawe mwisho wa siku wavune na kweli watavuna
 
Changamoto ya JF kila anayekuja na argument yake haelezei ni kwanini hivyo zaidi ya kugusia juu juu mpaka inakuwa ngumu kutofautisha na soga za vijiwe vya kahawa

Sawa vyumba ni vidogo ukilinganisha na vyenye hadhi ya nyota tano je hivi vina ukubwa gani? na hivyo vya hadhi ya nyota tano vinapaswa viwe na ukubwa gani?
 
Kwani hizo nyota 5 nani kaipatia? Kama imepatiwa na shirika husika la kimataifa kwa kukidhi viwango, wewe unakosoa kama nani? Kama hizo nyota tano zimetolewa na shirika letu husika kwa kukidhi viwango vyetu vya Tanzania (local standards), tatizo liko wapi? Hata kama hizo nyota wamejipa wenyewe, kwani kuna sheria yo yote inayowazuia? Hongera sana kwa mhandisi msanifu majengo mtanzania mzalendo kwa kubuni jengo hilo la hoteli zuri kuliko majengo yote ya hoteli yaliyoko mjini Mwanza. Wanamwanza wamelipa nyota sita.
 
Injinia atakuwa kasomea urusi haya majengo nimeyaona sana kule urusi.
 
Hapo mtu anaweza lipanda kwa urahisi tu maana limekaa kama ngazi. Mimi wasiwasi wangu ni huo kuwa wezi watakuwa wanapanda kwenda juu kirahisi maana wamewekewa ngazi kabisa kupanda juu ya paa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…