Msanii adai: Ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa

Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.

Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.

Hana jina HUYO msanii. Uchonganishi detected. Wakina kkt walikula San FEDHA za WATZ ILA KIMYA HUYU mama akifanya HIVI TU. MANENO kibaoooo. Mpumzishenii
 
Ni kweli kutoka Kizimkazi na kapewa laki yake
 
Wakuu!

Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa

Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.

Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.

Na wewe nenda, Acha mambo yako ya kishogashoga na ushankupe kama kichaa. Tafuta mume bint.
 
Wakuu!

Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa

Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.

Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.

Hili ni janga la kitaifa. Watu wanakukejeli kuwa kumsifia tu unapewa laki moja na kweli bila aibu unawapa bahasha.

Nadhani kuna shida mahala kama siyo nati kulegea mahala.
 
Back
Top Bottom