Msanii adai: Ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050

Wakuu!

Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa

Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.

Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.

Upuuzi mtupu.
 
Acha roho.mbaya,mwenzako akipatq usimfanyie roho mbaya
 
Na wewe nenda, Acha mambo yako ya kishogashoga na ushankupe kama kichaa. Tafuta mume bint.
Total paralized! Ukiona mwizi anaiba nyumbani kwako na wewe kaibe kwa jirani! Kunguni ww"
 
Wakuu!

Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa

Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.

Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.

Hivi uongo wa hivi utawasaidia nini?
 
Back
Top Bottom