Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
mbona hujahoji hzo bahasha wameziandaa muda gani hadi ikawa ni ghafla hvo.Huyu Msanii kasema ukisema Mama Samia oyee anakupa Laki 1 yaana wanajua kabisa ukimsifia Rais unapata bahasha
Ni kweli kutoka Kizimkazi na kapewa laki yakeHana jina HUYO msanii. Uchonganishi detected. Wakina kkt walikula San FEDHA za WATZ ILA KIMYA HUYU mama akifanya HIVI TU. MANENO kibaoooo. Mpumzishenii
Hilo ni jina kamili la mwanajf Laki Si Pesa😁😂Laki si pesa
Mkinga huyo 😄😄Hilo ni jina kamili la mwanajf Laki Si Pesa😁😂
"Milioni ni chenji tu". Hahahaaaa huu msemo ulitamba sana awali ya nne chini ya mzee wa Msoga.Laki si pesa
Na wewe nenda, Acha mambo yako ya kishogashoga na ushankupe kama kichaa. Tafuta mume bint.Wakuu!
Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa
Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.
Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.
Hili ni janga la kitaifa. Watu wanakukejeli kuwa kumsifia tu unapewa laki moja na kweli bila aibu unawapa bahasha.Wakuu!