SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Upuuzi mtupu.Wakuu!
Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa
Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.
Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.
Acha roho.mbaya,mwenzako akipatq usimfanyie roho mbayaWakuu!
Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa
Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi iliyofanyika, kunavuruga misingi ya Usawa, Uwajibikaji, na Maadili ya Kitaifa.
Tabia hii imekuwa jibu sasa Wasanii wanajua Rais anapenda kusifiwa na akisifiwa anatoa bahasha za maokoto ndio maana huyu msanii amesema bila aibu kuwa ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050.
Acha roho mbayaUpuuzi mtupu.
Mmojawapo.ukiwq ni weweIla hii inchi mpaka ikifika 2050 huko hakutakuwa na watu wenye akili tena.
Jifunze kwanza namna ya kuandikaMmojawapo.ukiwq ni wewe
Laki Si Pesa | Huyu hapaLaki si pesa
Total paralized! Ukiona mwizi anaiba nyumbani kwako na wewe kaibe kwa jirani! Kunguni ww"Na wewe nenda, Acha mambo yako ya kishogashoga na ushankupe kama kichaa. Tafuta mume bint.
Hivi uongo wa hivi utawasaidia nini?Wakuu!