RIP aka Mimi, he was one of the very best rappers Tanzania have ever produced.
Nawasihi vijana wabadilike, kuigaiga baadhi ya mambo ili waonekane ni wa mjini kuna madhala. Vijana wengi wanakula unga na bangi, mbaya zaidi wanajisifia mpaka kwenye nyimbo zao na wakiwa katika kumbi za starehe.
Q Chief ni mmoja kati ya waathirika wakubwa wa madaya ya kulevya lakini bado anaamini ameshuka kimuziki kutokana na kurogwa na Diamond Platnumz. Hii pekee inaonyesha jinsi gani vijana wetu wasivyojielewa.
Thought provoking question.
Nini mchango wa Ruge na Kusaga katika kuharibikiwa kwa wasanii wa bongo flava? Kumbuka karibu wasanii wote waliokuwa chini ya management ya Ruge wamedondokeakwenye utumiaji wa madawa ya kulevya. Mfano QChief, Mangwear, Ray C, Langa, Mr. Blue, Jide (tetesi anatumia bange), mtoto wa Nguza Viking etc etc