Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
R.i.p ngwea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizani kama ni sembe coz' Kinje alikuwa anaongea Clouds/amplifier na kwa mujibu wa Kinje ni kwamba kuna mshikaji mmoja ambae alikuwa na Ngwair, naye yupo mahututi hosptalini.....so, labda some sort of poisoning!Haahahaa! Unanitia aibu sasa.
Huyu ndo aliimba ule wimbo wa kupokea simu na SMS za wizi mtupu kama ile thread yako SMS za wizi.
"Nyingine za machizi nyingine za mademu....Mwingine ana-beep kucheki kama ..... ". Wizi mtupu huu.
He was an aspiring artist ila inasemekana alikuwa anakula sana sembe.
Kama ni kweli amefariki basi, moja ya lines za investigation itakuwa ni kucheki kama alizidisha sembe.
[video=youtube_share;aSIfUSN5_gw]http://youtu.be/aSIfUSN5_gw[/video]
Mbona mna2changanya ss.
Kwakweli kuna jamaa wa karibu kaniambia pia jamaa walikuwa wanapelekaga mzigo South...naona walikuwa wanajisaidia humohumo........Sad
Habari zaidi toka kwa mamaye mzazi zinasema ya kwamba Ngwea mara ya mwisho kuwasiliana naye ni kama wiki mbili zilizopita na hata safari ya south Africa hana habari kwamba alikuwa huko!
Mwenyenzi MUNGU mwenye mamlaka ya yote amlaze marehemu mahala pema peponi!
Amen!
Source ya kifo. If ni madawa, shauri yake. He must go to the hell
Sizani kama ni sembe coz' Kinje alikuwa anaongea Clouds/amplifier na kwa mujibu wa Kinje ni kwamba kuna mshikaji mmoja ambae alikuwa na Ngwair, naye yupo mahututi hosptalini.....so, labda some sort of poisoning!
Nilianza kumkubali kwenye wimbo wake wa dakika 1, nayakumbuka sana haya maneno "Naomba unipe japo dakika moja tu, ya kuongea mimi na wee". R. I. P Ngwea aka mzee wa Dom.