TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Mungu akuweke unapostahili ndg albert magwea
 
wanadai alilala chumba kimoja na M to the P, huyo mwezake yupo mahututi, r.i.p ngwea
 
Ngwea akiwa na msanii M to the P
jana south africa.mtu wa karibu
anasema walitakiwa kurudi dar leo
lakini waliwakuta wamezima
kwenye room wote wawili baada ya
kuji overdose madawa ya kulevya
na M to the P yupo hoi hospitali.
 
Mangwea afariki dunia akiwa afrca ya kusini.afariki ghafla.chanzo watu wa karbu nae
 
Mwanamuziki wa Hip-Hop wa Tanzania Alber Mangwair amefariki Dunia leo huko Afrika kusini katika hospitali ya Hellena Joseph
 
R.I.P son mangwair.....
Umeacha biff ktk game kati ya JD komando na clouds fm majanga...
Mwana FA na yeye kavamia kuwanga... Kweli mchawi yule mtoto wa Tanga....
Umetangulia brother R.I.P son
 
Mungu atusaidie. Pumzika kwa Amani mpendwa Albert Ngwair.
 
dah R.I.P mwana nlkua natakuja kupga ngoma na ww dah ndo imekaa khvo
 
Dah!! Kama watu wanasema alilala then hajaamka lazima itakua kitu cha Diego/Sembe.R.I.P


Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

inawezekana ikawa mambo ya sembe,kama ndio sembe lenyeve das baba na tid na blue inabidi wakifunze kitu hapo
 
R.I.P son mangwair.....
Umeacha biff ktk game kati ya JD komando na clouds fm majanga...
Mwana FA na yeye kavamia kuwanga... Kweli mchawi yule mtoto wa Tanga....
Umetangulia brother R.I.P son
Teh teh..Umenichekesha kwenye msiba...Clouds Fm majanga tena!??
 
Ngwea akiwa na msanii M to the P
jana south africa.mtu wa karibu
anasema walitakiwa kurudi dar leo
lakini waliwakuta wamezima
kwenye room wote wawili baada ya
kuji overdose madawa ya kulevya
na M to the P yupo hoi hospitali.

Kama ni kweli hii ni aibu kwa vijana wa Kitanzania, kila siku unga, unga.
 
who was he?

'wee inaonyesha ni mzee flani wa maofisi ya maghorofani kabisa mitaa ya posta aisee hauwajui kabisa hawa jamaa wa kitaa si ndio............la sivyo utakuwa mmaza flani labda ticha hivi au mtu wa dini kabisa type za kilokole hauko na mambo ya kidunia safi sana,ni msanii kafa'
 
Back
Top Bottom