LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
nasikia kuna watu tayari wanazo picha za maiti ya mangwea,walionazo wekeni basi nasi tuzione tuamini,jamaa kafia mbali kidogo,inakuwa ni ngumu kuamini kirahisi kama kweli mambo yameharibika,atleast tuwe na proof juu ya kifo cha mshkaji,so painful..he's our age lazima tujifunze kitu,hasa ukichukulia jamaa ana title kila kijana ana hamu ya kujua source ya kifo cha albert,kiukweli ni pigo achilia mbali mapungufu yake mengine ambayo kimsingi kila binadamu anayo,kuna watu wanamsema vibaya,but suala la kifo sio la kulichukulia rahisi kiivo,ni kweli kifo ni kawaida coz kila mtu kitamkuta,lakini amini msiamini kifo hakizoeleki,tuwe tu watulivu ukweli wenye vithibitisho upatikans jamaa azikwe salama...