TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

nasikia kuna watu tayari wanazo picha za maiti ya mangwea,walionazo wekeni basi nasi tuzione tuamini,jamaa kafia mbali kidogo,inakuwa ni ngumu kuamini kirahisi kama kweli mambo yameharibika,atleast tuwe na proof juu ya kifo cha mshkaji,so painful..he's our age lazima tujifunze kitu,hasa ukichukulia jamaa ana title kila kijana ana hamu ya kujua source ya kifo cha albert,kiukweli ni pigo achilia mbali mapungufu yake mengine ambayo kimsingi kila binadamu anayo,kuna watu wanamsema vibaya,but suala la kifo sio la kulichukulia rahisi kiivo,ni kweli kifo ni kawaida coz kila mtu kitamkuta,lakini amini msiamini kifo hakizoeleki,tuwe tu watulivu ukweli wenye vithibitisho upatikans jamaa azikwe salama...
 
"Alazwe pema peponi kamanda, alazwe pema peponi kamandaaa. Cjui nini huko mbele nimesahaaau ooh alazwe pema peponi kamanda"
 
Amini wote tumezaliwa watupu
na kupata hutokana na juhudi tu za mtu............

says Ngwair
 
duh mkuu inabidi uhamini tu msiba unatuhusu wengi,nimetoka kuongea na sista ake Neema sasa ivi mchizi amevuta kweli...inasikitisha sana

pole sana....lakini tumshukuru Mungu!
 
RIP Albert,
Nilitumia muda kadha wakati flani kutafakari maneno ya jamaa ndani ya nyimbo zake, kiukweli alikua mtunzi mzuri si muimbaji tu.

Fikra ya ghafla ni kuwa its difficult kuukubali ukweli, drugs ni illusion,na unapokua addicted hasa kwa ajili ya kukimbia reality ya maisha yako basi ni wazi you become drug incorporated.

Ushauri wangu kwa vijana wenzangu wote,tukubali reality na kujitahidi kujikwamua, c kukimbia reality. Drug ni mbaya sana.
 
Au huenda freemasons wamemchukua mtu wao! naona sasa hivi mastar wengi wanakufa ghafla. Cheki Kanumba, Sharo B, Max, TX na wengine nisiyowakumbuka.

Tungekuwa na vipimo vinavyoweza kuonyesha vifo vinavyosababishwa na wajenzi huru hawa tungepunguza kuhangaisha watu mahakamani na mtu angeenda mwenyewe bila matatizo. Hapa unaweza kuona huyo jamaa aliyekutwa naye japo na yeye alikutwa hoi akapewa kesi ya mauaji. Anyway R.I.P mzee wa mitungi na mikasi.
 
Nawaomba wazazi wote nchini tanzania kwa nia njema tuanze kuwaombea watoto/ vijana wetu waachane na hawa madawa jamani! Inasikitisha sana rip mangwea
 
Ni kweli aisee amekufa. msiba upo pale kwa kaka yake david mangwea maeneo ya mbezi jogoo. r.i.p bet.CC: sweetlady.mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom