Msanii Ali Kiba avaa nguo za kike stejini, wanaume wakware wampigia miluzi

Hilo neno kawaida liishie huko huko USA, Marekani wameruhusu mapenzi ya jinsia moja na kwao kawaida... hivyo unamaanisha msanii wetu akishiriki mapenzi ya jinsia moja tujifariji kuwa kawaida kwasababu ni kawaida marekani...
 
Ha ha ubunifu mwingine bana! Ila kapendeza
 
hvi awa wasanii mameni wamekuaje, alianza ben pol, uyu nae kaja na stail za kuvaa viwalo vya wanawake

kweli wanaume tuhame sayari, apa duniani pameshapotea, twendeni pluto aisee
 
Yalikua ni mashindano ya kuimba nyimbo za hayati Brenda Fassie huko South Africa na mshindi aliibuka na zawadi ambaye ndiye Ali Kiba.Ukiangalia hapo hizo nguo ni style kama ile ya Brenda Fassie copy right!! huenda hiyo style ndo ilimfanya jamaa akaibuka mshindi by my side hicho ndicho nachofahamu.
 
Bibie haijalishi anaingiza kiasi gani,haiwezi kujustify yeye kuvaa nguo za kike,ungalau ungetetea ukasema sio za kike lakini kigezo cha pesa haya wauza unga wanapiga pesa bado haihalalishi biashara wanayofanya.binafsi siwezi mlaumu sana kiba najua hayo ni matokeo mtambuka ya kusign kwenye lebo ya sony.
 
Ahahaaa lemba kama la wale wadada wa kwenye wimbo wa Salome wa mondi
 
Wabongo wanaweza kuponda kwa kutokujua ila wakajifanya wanajua ili mradi tu waponde.

Ile haikuwa show kile ni kipindi cha TV Lip Sync battle kinachoongozwa na Dj Banj....Wasanii wanaitwa na kuigizia kuimba nyimbo za Wasanii wengine.

Kuna Wasanii kibao wa kike uvaa nguo za kiume na kuimba nyimbo za wanaume ili kuleta uhalisia.

Na kile ndio alichokifanya Ali ila mbongo wa Tandale aliejawa na chuki ya kutokula siku nzima anajisikia kuropoka tu.

Wakina Joti wanajipaka mpaka wanja na kuvaa magauni ila sio kesi ila kwa kuwa Ali amevaa gauni kelele.
 
i like it
 

Okay, kwa sababu yuko stejini, ofisini kwake, avae nguo za kike watu wasikosoe!

Kisa hawalipwi kama anavyolipwa yeye!

Ha ha ha, ila kapendeza kwa kweli, zimemtoa supa.
 
Duu...sasa tukianza mambo ya kumtumia GOOD NIGHT wishes.. Asirushe ngumi tu
 
Muelewe maudhui yake kwanza sio kutukana tu.. simpendi kibakuli lakini nimefuatilia ishu ni kwamba alikuwa anamuenzi BRENDA FASE.. kwahiyo sio kwamba shoo nzima akivaa hivyo.. hapo alikuwa anaimba wimbo wa brenda... tuacheni kutukana bila tafiti..
 
hivi Huyu jamaa.naona akizunguka kupiga show sijui.kwa nyimbo gani
 
Unatetea tabia mbaya za watoto wa kiume
Siku mwanao wa kiume akiiga matendo ya hawa jamaa ndipo utakapouona ukweli.
Lakini bahati mbaya itakuwa I'm chelewa.
Mwanadamu asiyekataa uovu sawa na Nyumba nzuri bila umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…