Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
- #61
Hilo neno kawaida liishie huko huko USA, Marekani wameruhusu mapenzi ya jinsia moja na kwao kawaida... hivyo unamaanisha msanii wetu akishiriki mapenzi ya jinsia moja tujifariji kuwa kawaida kwasababu ni kawaida marekani...Hiyo kitu ni kawaida sana,USA kuna kitu kinaitwa "LIP SYNC BATTLE" host ni LL Cool J ni battle inayowakutanisha celeb wawili wapambane kwa ku act wimbo ya msanii fulani na auvae uhalisia wa huyo msanii na wimbo wake but bila kuimba ni vitendo tu.
humo kuwakuta wakina Mike tyson kavaa mavazi kama ya Shakira na mauno kwa kwenda mbele ni kawaida sana...kwa hili la Ali sio jmbo la kushangaza just incase labda km hujui chochote kuhusu Sync battle au ni zile swaga za kuendeleza yale mapambano yetu ya u team.
Otherwise tunaendelea kusherehekea ubingwa wa Yanga huku tukiskilizia Serengeti boys Gaboooon mpk kombe la Duniaaa......