Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Hongera sana sana Kiba....ila umeongia stress kubwa sana uwe makini na mtulivu...brand yako ndio itakupa matangazo...pia acha kugeuzaaa.....wanaume kashfa mbaya sabaa......kama ni kweliiii
 
Daladala nyingi hufunga mziki ati ambao frequency ni 108
 
Pamoja na yote,Diamond atakumbukwa na anakumbukwa sana.Kaleta mapinduzi makubwa,halafu wengine wanafuata.Diamond kaanzisha Lebo imara Africa,wakafuatia akina Kiba na Konde,mpaka Sasa sijui wamepotelea wapi,akaja akafungua Wasafi media,naona na kaka yake pia kafuata.Namuombea IDUMU isije ikasuasua kama Lebo.
 
Facts
 

Hongera sana Ali Kiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…