Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Jina tamu, Crown! Taji la mfalme wa muziki.
Unajua mashabiki wa huyu ni wale ambao ni wanao jitambua,wasomi,wenye akili.
Wale wenye misingi ya kutoka kwenye familia nzuri na Imani thabiti.
 
Naskia masafa kuanzia 90 huwaga ni chenga wanao jua tupeni elimu
Umeongea ponti kubwa sana japo imepitwa kimia kimia. Masafa ya 92.---- ni mtihani. Radio nyingi za kizamani hasa kwenye daladala masafa yanaanzia 70-90. So mpaka hapo mimi kwenye gari hiyo Radio sitoipata. Daladala ambao ndio pia hukuza/promoti hizi redio hawatoweza kuipata. To some extent masafa yatawavuta shati hawa jamaaa.
All in all HONGERA SANA KWA KIJANA MWENZETU KING KIBA
 
Radio na TV siku hz hazina nguvu kiivo maaana wanahariri hadi wanaharibu lkn mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo
Sio kweli hapa mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo yaani ikiwa haijahaririwa bcoz taarifa mtandaoni anapeleka yute tu hata mjinga sasa hapo umepewa tip utasema ni taarifa?? Mfano mzuri ni huyu aliyeleta hii ya bwana Kibanio kuzindua redio taarifa haijakamilika

Hapa ningetemea angemaliza 4H+W lakini wapi kadema dema tu

Yaani ni hivi
Ningetegemea angesema tukio la ufunguzi limefanyika wapi? HQ ya radio Location
na labda kama ali alisemea lengo la kufungua radio ni nn at least hii ingekua habari hivyo imekosa sifa itaitwa TIP au maybe Information Ova
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.

Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.

Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa miongoni mwa Wasanii na watu wanaomiliki Radio.
Hongera zake lakini akubali Mond yupo juu sana tu kwake
 
Umeongea ponti kubwa sana japo imepitwa kimia kimia. Masafa ya 92.---- ni mtihani. Radio nyingi za kizamani hasa kwenye daladala masafa yanaanzia 70-90. So mpaka hapo mimi kwenye gari hiyo Radio sitoipata. Daladala ambao ndio pia hukuza/promoti hizi redio hawatoweza kuipata. To some extent masafa yatawavuta shati hawa jamaaa.
All in all HONGERA SANA KWA KIJANA MWENZETU KING KIBA
Asante sana kwa elimu
 
Back
Top Bottom