Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Yap, nime ona kaandika hivyo pia
20240310_011135.jpg20240310_011257.jpg
 
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm
Utasikia wabongo wanavyochanganya madesa wengine watasema crown wakimaanisha clouds na wengine watasema clouds wakimaanisha crown na wengine wataandika clown huku wengine wakiandika crowds
 
Angeiita KINGS FM Ingekaa kiushindani zaidi na WASAFI FM. Lakumi Crown FM ni jina geni masikioni. Atakua na KAZI kubwa ya kuipush kuliko angetembea na upepo wa Kings. Kumbuka Kiba Hana content nyingi. So anakazi kubwa ya kufanya. Kiba Hana historia ya kukuza kitu au kupusha jambo na kufika mbali
Kuna redio mkoani inaitwa Kings Fm
 
Back
Top Bottom