Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #141
Vipi Kama mmiliki wa kings ali goma??, au una hisi Hawa kufikiria Hilo??Yeye angeinunua hiyo Kings akafungua Headquarters hapa Dar kisha huyo wa Iringa ndo akafungua mpya kwa jina jingine.