Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Na wewe nakupenda my wangu.Yan unaacha kunpenda mm mywako unampenda KIBAKULI
Ubavu wake unao Wewe Nini ? 😂😂😂Hongera zake, nampenda sana.
Ungejua mitandaoni Kuna uozo Sana, ndo maana Millard ali teka soko kubwa. Kwa sababu ya taarifa rasmiRadio na TV siku hz hazina nguvu kiivo maaana wanahariri hadi wanaharibu lkn mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo
🤣🤣🤣Taratibu mamdogo 🤣🤣
✅✅Kikubwa maisha yaende mzee, Rihanna mwenyewe ni ambassador wa Fenty beauty.
Bosi ni Bernard arnault, Rihanna kapewa share.
Vipi wewe unge kataa??
Na Mimi je ? 🥱🤣🤣🤣 Na wewe nakupenda my wangu.
Juzi nlikuwa napita pita Instagram nikakuta clip huyo jamaa aliepo kwenye avatar yangu yupo Coco beach anakula mihogoBro hiyo avatar niuzie basi 😆
Hongera Sana Kwa mapenzi yenu, wewe na kaka spidernyoka 🤒🤣🤣🤣 Na wewe nakupenda my wangu.
Hukwenda kumsalimia??😆Juzi nlikuwa napita pita Instagram nikakuta clip huyo jamaa aliepo kwenye avatar yangu yupo Coco beach anakula mihogo
Hongereni sana kakaVincenzo Jr Sasa hivi nanjilinji tume pata redio ya kusikiliza😆🤒
😁🤣😁Kaka ungeomba pichaJuzi nlikuwa napita pita Instagram nikakuta clip huyo jamaa aliepo kwenye avatar yangu yupo Coco beach anakula mihogo
Una juaje mzee, au portfolio na diversification hauzijui??kilimo kishampiga knockout
ACHA wehu na wewe 😆😃, SI ilikuwa clip ya Instagram 🤣🤣😁🤣😁Kaka ungeomba picha