Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Kila mtu akijisikia kusema anaweza sema chochote maadam watu wapo wakuwasikiliza hata kama wanachokizungumza hawajawahi kukiona au kukisikia.
 
Kwani kuna wanawake wangapi siku hizi wanaolewa wakiwa used ije kuwa huyo!
 
Mhh sidhani kama hizi habari ni za kweli, sijawahi tegemea haya kwa Alikiba, tho anaonekana kuwa na issues.

We fikiri hadi vijana wale wa kings Music kuna kipindi walikuwa wana kaa pale kwenye ghorofa la Alikiba
 
Mwanaume asie weza simama kidete kwa ajili ya Mke wake HAFAI KUITWA MUME. nenda Amina Haujaolewa na Familia umeolewa na Kiba,kama huyo mumeo yupo na ndugu zake Nenda mama wasije kukugeuza house girl.
Haya ni maneno ya kichochezi
Ifike mahali wanawake wajue ukiolewa unakuwa chini ya 'husband's roof'
 
Mwanaume asie weza simama kidete kwa ajili ya Mke wake HAFAI KUITWA MUME. nenda Amina Haujaolewa na Familia umeolewa na Kiba,kama huyo mumeo yupo na ndugu zake Nenda mama wasije kukugeuza house girl.
ukiolewa na muislamu lazma ujue umeolewa na familia yote
 
Back
Top Bottom