Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Eti kudinyana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
For sure, ndoa hata mwaka bado then ndugu wanataka kuja hapo hapo
Ndugu chukua kama ni 1 hata wawili waje kwako sawa lakini mpo hapo ukoo mzima unaoa binti unakuja mtumbukiza hapo duu sio vizuri
 

Kiba hana tabia ya kubanjua kwenye chumba, kumbuka yule DC alikuwa anabanjuliwa kwenye verossa, haya wema naye alkuwa anagongewa kwenye gari, kiba akirudi Tabata mjengoni mwake anakula mzigo parking, wakiingia ndani ni kuoga tu, mind you wakenya hawakati viouno kwahiyo Kiba hatumii nguvu nyingi na ndio maana amekuwa nastress sana za mapenzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kama nguchiro utazani mpo kambi maisha gani hayo
 
King kiba alitaka bikira wakati kuna aliowazalisha na kuwaacha ila huyu jamaa aliendekeza ndugu sana hata mond haya mambo yanamkuta sana tu
Anataka bikira wakati yeye kazalisha nakuacha nani atawaoa, kisu.lazima kigeuke tu
 
Inawezekana kweli wameachana lakini nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hizo propaganda za mleta mada.
 


Endapo kama kuna ukweli ktk suala hili, NA endapo kama habari hii ni ya kweli , mwanamke KWA kiasi Fulani alikuwa yuko sahihi. Haiwezekani wanandugu mjazane KWA MTU mmoja ambaye ana ndoa yake. Hapo ndipo tunapokosea sana NA kuharibu ndoa zetu.

Kijana akioa mwanamke tayari wamekuwa wamejitengenezea au kuunda " Serikali yao inayojitegemea ktk maamuzi" miongoni mwao wanandoa. Lazima wawe huru kujiamulia mambo yao wao wenyewe, watu wengine wote pamoja na wazazi NA wana ndugu wanabaki kuwa washauri tu kwa wanandoa hao.

Ni lazima wana ndugu wakae mbali, wala wasiwe sehemu ya ndoa au wawe pia NA maamuzi ktk ndoa ya ndugu yao kwani KWA kufanya hivyo lazima ndoa husika itaingia kwenye migogoro tu na hatimaye kuvunjika kabisa. Wanandugu wanatakiwa kumtembelea au kuishi na wanandoa KWA muda tu, lakini siyo kuwa nao pamoja na kuwa familia moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…