May be ni kweli. Lakini chanzo cha mgogoro wa ndoa ya kiba ni kiba mwenyewe kutotumia akili. Mwanaume unapelekeshwaje hivyo?Iwe kweli au fake hii kitu, but imebeba uhalisia wa wanawake walivyo!
Wanawake wengi ni chanzo cha migogoro katika familia, wanaweza kuzisambaratisha na kugombanisha vibaya sana!
...aliyesema tuishi na wanawake kwa akili aliona mbali sana!
Kwahiyo timu yote inakaa kwa kiba?View attachment 1210256
kazi hipo hapo
Maneno yako ni kweli hakuna ubishi japo ziko family wameweza. Wanawake kwa asilimia kubwa ni tatizo lakini akija mama ya mke kukaa hapo hakuna shida ila asije mama ya mume ni shida ndio ujuwe shida sio kina mama ni watoto wa kike yaani mke na kina dada ndio shida.Mke kukaa na mama mkwe wake nyumba moja inahitaji moyo
....
hili swala limemuacha Alikiba na nduguze uchi, kama wanaenda kugagua swala la mtoto..je in 😳😳his career je..kaloga mara ngapi?
Mungu alinena "ishi na mwanamke kwa akili"
Alimaanisha kama huna akili usioe!
So ukiona umeoa then ukashindwa kuishi na mkeo, maana yake huna akili
Hii ina maana huyu ndugu yetu Ally K hana akili hata kidogo
Hivyo basi tusishangae hata kwenye muziki kuzidiwa na Mond, sababu ni kwamba ndugu yetu hana akili.
Mke kukaa na mama mkwe wake nyumba moja inahitaji moyo
....
Wakina Mama pasua kichwa sana, Mi nilimwambia mama yangu na ndugu zangu mke wangu niachieni mwenyewe na Mke wangu nikamwambia ndugu zangu niachie mwenyewe.Halafu wanashindwa kulea watoto wao wa kike, kazi yao kupiga ukahaba na kudanga
Kingmusic band wakiwa wamelala hapo ni nusu tu bado hesabu haijatimiaMama yake Aki K anaishi kariakoo.Halo tabata alikuwa akiishi na ndugu mpaja mdogo aliyeoa siku moja naye.Na pia na Baadhi ya wana Bendi yake wanaishi hapo yaani ni shiiiiida! Amina asingeyaweza hayo
Hata mimiAlikuwa anatoka na mastar? Walivyokuwa wanampamba mimi nilijua ameoa bikra
Ni kweli, MUNGU yupo na malipo yapo kwa kila ubaya afanyayo mtu.Kweli malipo ni hapa hapa duniani
Kazalisha wanawake watatu sijui na asioe
Sasa Amina wanne
Na kumuacha Mkuu wa Wilaya na kukimbilia Kenya...sasa kiko wapi?.kweli kutesa kwa zamu.,ss zamu yake kula tabu.
Vijana tujifunze
Ndoa gani mnaishi watu maelfu ndani[emoji28]
Sorry kwa kukuingiliaMnakaa ukoo mzima nyumba moja lazima mgongane tu
USIPO MPENDA MAMA YAKO UTAMPENDA NANI DUNIA HII.HATA MKE ANAPASWA KUFAHAMU BILA MATESO ALIYOPITIA MAMA ASINGEKUJUA.. MUME MWEMA AU MKE MWEMA NI YULE ANAETAMBUA NAFASI YA MAMA KTK FAMILIA.NA WANAUME MLIVYO MBONA MKEO ANAMTHAMINI MAMA YAKE NA MNAWEZA ISHI NAE BILA SHIDA ILA AKIWA MAMA YAKO UGOMVI KILA SIKU,MJITAMBUEhuwezi kumpenda mama yako halafu eti umpende na mkeo hilo halipo!
ni mara chache sana ndoa ambazo wanaume wanawapenda mama zao huwa zinadumu na ukiona hivyo ujue mke kaamua kujitoa ufahamu tu.