Most of them wanaotetea hii kitu wanaishi kwa mashemeji na kaka zao😀😀inakera aisee hawa ndugu ukishaishi nao nyumba moja wanataka wamcontrol mdada wa kazi mpaka moro,wanasoma kama wameoa na wao,utakuja mtu hata chumba anacholala hawez kufanya usafi afanyiwe,na wengi huwa anasubir kukosea waanze kutoa kasoro na haiishii hapo utasambazwa ukoo mzima udhaifu wako,ukioa unatakiwa ujitambue kama mwanaume umekua,tambua huyo moro hukuzaliwa nae tumbo moja kuna mambo mtapishana either kwako mwanaume au ndugu zako,bora mgombane nyie wawili mtayamaliza ila si ndugu atayabeba na kuyatua si leo wala kesho,kuisha na kundi is ndugu tena ndoa mpya ni changamoto unaweza jikuta haifiki malengo unabaki njia panda katika maamuzi,dawa yao kaa nao mbali waje kusalimi awaondoke neither mama mkwe nor mashemeji mawifi ndugu au MASOZI.