Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Iwe kweli au fake hii kitu, but imebeba uhalisia wa wanawake walivyo!
Wanawake wengi ni chanzo cha migogoro katika familia, wanaweza kuzisambaratisha na kugombanisha vibaya sana!
...aliyesema tuishi na wanawake kwa akili aliona mbali sana!
May be ni kweli. Lakini chanzo cha mgogoro wa ndoa ya kiba ni kiba mwenyewe kutotumia akili. Mwanaume unapelekeshwaje hivyo?
 
Most of them wanaotetea hii kitu wanaishi kwa mashemeji na kaka zao😀😀inakera aisee hawa ndugu ukishaishi nao nyumba moja wanataka wamcontrol mdada wa kazi mpaka moro,wanasoma kama wameoa na wao,utakuja mtu hata chumba anacholala hawez kufanya usafi afanyiwe,na wengi huwa anasubir kukosea waanze kutoa kasoro na haiishii hapo utasambazwa ukoo mzima udhaifu wako,ukioa unatakiwa ujitambue kama mwanaume umekua,tambua huyo moro hukuzaliwa nae tumbo moja kuna mambo mtapishana either kwako mwanaume au ndugu zako,bora mgombane nyie wawili mtayamaliza ila si ndugu atayabeba na kuyatua si leo wala kesho,kuisha na kundi is ndugu tena ndoa mpya ni changamoto unaweza jikuta haifiki malengo unabaki njia panda katika maamuzi,dawa yao kaa nao mbali waje kusalimi awaondoke neither mama mkwe nor mashemeji mawifi ndugu au MASOZI.
 
IMG_3407.JPG

kazi hipo hapo
 
Ndoa zinakufa kwa sababu nyingi wako watu wanaishi wao tu hakuna family na ndoa zinakufa na wako wanaishi family tu na ndoa zimedumu. Ndoa kama imefungwa kwa mapenzi kabisa hizi changamoto utapata solution tu mpaka ndoa itakaa sawa hakuna ndoa ikadumu kirahisi ni ile hali ya kupambana na zile shida na kutatua na hii ni miaka ya mwanzo tu ya ndoa baadae basi inaenda automatic. kazi kubwa family moja tu kukaa nyumba moja lazima kutatokea shida lakini wanatatua maisha yanaenda sasa fikiria kuleta mtu kutoka family nyingine kabisa kuungana na family yako lazima shida ziwepo sababu tabia ziko tofauti hapo sasa ndio maana ya ndoa unatakiwa kila mmoja kujishusha kidogo na kumuelewa mwenzake na tabia za family. sasa mbaya zaidi unavuka mipaka unaenda kuowa tabia zetu sio sawa Mkenya sijui mganda au taifa lolote ni ngumu zaidi. Nakumbuka katika ndoa yangu miaka kama miwili ya mwanzo ilikuwa changamoto sana ni kama uko chumba cha mitihani lakini ukivuka hapo basi huwezi kukaa mbali na mwenzako inakuwa mapenzi plus mazoea. leo nimevuka 10 years plus ya ndoa na nikiwaza ile miaka 2 ya mwanzo nasema nisinge mvumilia mke wangu au asingenivumilia leo hawa watoto wazuri niliopata wasingekuwepo na maisha haya. kwa ufupi ndoa ni uvumilivu sana jamani zamani unarudishwa tu kwa mumeo ukirudi kwenu mpaka unaona wazazi wako wabaya labda lakini ndoa ikitulia tu ndio utaanza kuwashukuru wazazi wako sasa siku hizi ukirudishwa au umegombana basi family nzima inachukuwa side busara za zamani hakuna tena.
 
Mke kukaa na mama mkwe wake nyumba moja inahitaji moyo
....
Maneno yako ni kweli hakuna ubishi japo ziko family wameweza. Wanawake kwa asilimia kubwa ni tatizo lakini akija mama ya mke kukaa hapo hakuna shida ila asije mama ya mume ni shida ndio ujuwe shida sio kina mama ni watoto wa kike yaani mke na kina dada ndio shida.
 
hili swala limemuacha Alikiba na nduguze uchi, kama wanaenda kugagua swala la mtoto..je in 😳😳his career je..kaloga mara ngapi?

na wewe ni mchawi pia ili uamini hayo

hivi. hata ile sauti nzuri ya Kiba kapata kichawi?
 
Mungu alinena "ishi na mwanamke kwa akili"

Alimaanisha kama huna akili usioe!

So ukiona umeoa then ukashindwa kuishi na mkeo, maana yake huna akili

Hii ina maana huyu ndugu yetu Ally K hana akili hata kidogo

Hivyo basi tusishangae hata kwenye muziki kuzidiwa na Mond, sababu ni kwamba ndugu yetu hana akili.

Hata Mandela hakuwa na akili?

kwa hiyo wanamuziki wengine waliopitwa na Mond, wameachana na wake zao?

hapa ni wewe
 
Mama yake Aki K anaishi kariakoo.Halo tabata alikuwa akiishi na ndugu mpaja mdogo aliyeoa siku moja naye.Na pia na Baadhi ya wana Bendi yake wanaishi hapo yaani ni shiiiiida! Amina asingeyaweza hayo
Mke kukaa na mama mkwe wake nyumba moja inahitaji moyo
....
 
Mama yake Aki K anaishi kariakoo.Halo tabata alikuwa akiishi na ndugu mpaja mdogo aliyeoa siku moja naye.Na pia na Baadhi ya wana Bendi yake wanaishi hapo yaani ni shiiiiida! Amina asingeyaweza hayo
Kingmusic band wakiwa wamelala hapo ni nusu tu bado hesabu haijatimia
Screenshot_2019-09-18-10-41-25-1.jpeg
 
Kuoa au Kuolewa uswahilini kwa Waswahili wajinga wajinga kama hawa ni UPUMBAVU TU

Wajinga sana waswahili hawa, elimu hakuna kazi ni Majungu tu na kukomoana.

Washenzi washenzi sana hawa waswahili hawa.
 
Kweli malipo ni hapa hapa duniani

Kazalisha wanawake watatu sijui na asioe
Sasa Amina wanne

Na kumuacha Mkuu wa Wilaya na kukimbilia Kenya...sasa kiko wapi?.kweli kutesa kwa zamu.,ss zamu yake kula tabu.

Vijana tujifunze

Ndoa gani mnaishi watu maelfu ndani[emoji28]
Ni kweli, MUNGU yupo na malipo yapo kwa kila ubaya afanyayo mtu.
 
huwezi kumpenda mama yako halafu eti umpende na mkeo hilo halipo!
ni mara chache sana ndoa ambazo wanaume wanawapenda mama zao huwa zinadumu na ukiona hivyo ujue mke kaamua kujitoa ufahamu tu.
 
huwezi kumpenda mama yako halafu eti umpende na mkeo hilo halipo!
ni mara chache sana ndoa ambazo wanaume wanawapenda mama zao huwa zinadumu na ukiona hivyo ujue mke kaamua kujitoa ufahamu tu.
USIPO MPENDA MAMA YAKO UTAMPENDA NANI DUNIA HII.HATA MKE ANAPASWA KUFAHAMU BILA MATESO ALIYOPITIA MAMA ASINGEKUJUA.. MUME MWEMA AU MKE MWEMA NI YULE ANAETAMBUA NAFASI YA MAMA KTK FAMILIA.NA WANAUME MLIVYO MBONA MKEO ANAMTHAMINI MAMA YAKE NA MNAWEZA ISHI NAE BILA SHIDA ILA AKIWA MAMA YAKO UGOMVI KILA SIKU,MJITAMBUE
 
Back
Top Bottom