Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .
Kweli kama nzi, Na ukiongea unaambiwa mchoyo, sasa kama ni wakubwa kwanini wasijitegemee,
 
Iwe kweli au fake hii kitu, but imebeba uhalisia wa wanawake walivyo!
Wanawake wengi ni chanzo cha migogoro katika familia, wanaweza kuzisambaratisha na kugombanisha vibaya sana!
...aliyesema tuishi na wanawake kwa akili aliona mbali sana!
 
Wanaume huzani akiwa na pesa ndiyo kila kitu kama umeamua kuwa na mwenza kwanini akae na familia hapo, watu wenyewe mambo ya kiswahili kibao acha akapumzike, anazidi kuongeza watoto nyumbani bila mama zao, Baba mmoja mama zao 30

Familia zetu za kiafrica kuwa na ndugu kwenye nyumba ni kitu cha kawaida ila unatakiwa uangalie kama hao ndugu hawaharibu uhusiano wako...Kiba ulipojua tu mkeo hapatani na mama yako ungewatenganisha kila mtu akae kwake...dada wa watu kavumilia...hata mie ningesepa..lol
 
Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma adse
 
Ni vyema watu wenye utamaduni mmoja waoane. Kuoa sii kupenda rangi maumbile, na anavyoongea tuu lakini kumbuka unabeba na kuunganisha ndugu na tamaduni mbili. Kama unampenda mwanamke anayeonekana ni mzuri kwa sura na tabia lakini ndugu zake wanavitabia vya asili, kama ulevi, bangi, umalaya, uchawi ukadhani kwa kuwa huyo uliyempeda yuko tofauti umejidanganya>>> ndugu ni ndugu tuu kuna siku hayo matabia usiyoyapenda yataingilia mahusiano yenu
 
Familia zetu za kiafrica kuwa na ndugu kwenye nyumba ni kitu cha kawaida ila unatakiwa uangalie kama hao ndugu hawaharibu uhusiano wako...Kiba ulipojua tu mkeo hapatani na mama yako ungewatenganisha kila mtu akae kwake...dada wa watu kavumilia...hata mie ningesepa..lol
Hilo kweli ndugu nao wanazidi mtu hawezi hata vaa pens akazunguka ndani kwake nyie mmetoa mimacho tu kwa wifi yenu [emoji846][emoji846][emoji846]
 
Back
Top Bottom