Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Umenena vema mkuu.Ni vyema watu wenye utamaduni mmoja waoane. Kuoa sii kupenda rangi maumbile, na anavyoongea tuu lakini kumbuka unabeba na kuunganisha ndugu na tamaduni mbili. Kama unampenda mwanamke anayeonekana ni mzuri kwa sura na tabia lakini ndugu zake wanavitabia vya asili, kama ulevi, bangi, umalaya, uchawi ukadhani kwa kuwa huyo uliyempeda yuko tofauti umejidanganya>>> ndugu ni ndugu tuu kuna siku hayo matabia usiyoyapenda yataingilia mahusiano yenu