Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Huenda ni zaidi ya inavyosemwa!
Ali Kiba atakuwa alivumilia Mengi toka kwa yule mwanamke!

Hadi kuamua kumwacha kwa talaka 3 hiyo tu inaonekana Ali amekasirika sana!

Yani hapo hakuna rejea[emoji108][emoji108]
 
Wanaume huzani akiwa na pesa ndiyo kila kitu kama umeamua kuwa na mwenza kwanini akae na familia hapo, watu wenyewe mambo ya kiswahili kibao acha akapumzike, anazidi kuongeza watoto nyumbani bila mama zao, Baba mmoja mama zao 30
Mama + mawifi + mke = [emoji91]
 
kwema shemu hujambo? ila mwambie nduguyo asinifanyie hayo anayonifanyia na mimi naumia eti najikaza tu kisabuni siwezi kuloloma mbele ya wananzengo.
Huyu mdogo wangu Zesh ametenda kitu gani usijali shem nitazungumza nae.
 
Natamani kusingizia ukosefu wake wa elimu ,nashindwa nimezungukwa na la saba wenye hekima na maisha mazuri ,hivi wazo la kuishi na mke na mamayako paa moja unalitoa wapi ? mimi ndugu naeweza ishi nae ni chini ya miaka ishirini na anaishi kwangu anasoma au namtafutia mtaji mdogo wangu asie na ramani akaishi na wazazi wake mi ntaishi na mke wangu,watoto wangu na wa mke kama nimemkuta nao au ndugu yangu asie na akili timamu (taahira)
 
Kama mke na mume tu moto unawaka sometimes ndo mawifi na wakwe...***** alikiba senge tu naee anajikuta anampenda mama yake amjengee asepe akaishi na ndugu zake...Mondi kusepa madale kidogo imempunguzia chokochoko aisee..
Tena watu wa mataifa tofauti, hivi ndoa yao imetimiza hata miaka miwili kweli...
 
Ina maana ni familia ya washirikina au sijaelewa vizuri?
Mkosi huo kufanikiwa kutamgharimu muda
 
Kama ni kweli pole yake Amina, hata hivyo mie nilimuona ana moyo sana. Mwanaume ana watoto watatu na kila mtoto na mama yake bado ukatumbukie humo[emoji134][emoji134][emoji134]
Kama haitoshi familia nzima inaishi under the same roof yaani hapo maana ya ndoa hakuna.
Wanawake mmeumbwa kuvumilia. Sijui wale wanawake wavumilivu kama wazaman wameenda aapi???
 
Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .
kweli ata mi sipendi. Utafikili wahindi nyumba ukoo mzima ata kujiachia na Mumeo uwezi ukigeuka mkwe mara shemeji ebu tubadikikeni wa Tz tuige wazungu familia ni Baba,mama na watoto
 
Back
Top Bottom